SAKATA LA RICHMOND
Mwendo wa kuviziana ndio mtindo CCM
Na Saed Kubenea
HOJA za msingi hazijajadiliwa. Watuhumiwa wa ufisadi wameendelea kupeta. Vidonda vya migawanyiko vilivyokuwa vipate tiba...
Mtikila kuwaburuza mawaziri wa JK kortini
Na Beatrice Shayo
28th February 2010
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila.
Mawaziri wawili wanatarajiwa kufikishwa...
RAIS Robert Mugabe amefanya hafla ya siku ya kuzaliwa kwake Ijumaa iliyopita kwa gharama ya dola za Marekani 500,000 (Sh milioni 670/-), ambayo ilirushwa moja kwa moja na televisheni ya Taifa...
Ukiwa kama mpakwa mafuta wa bwana
mch mwakasege atakuwa akihubiri neno la mungu
pale biafra dar es salaam,....tar 7 mapak 14 ,arch
ukiwa mwana wa mungu usiache kuomba mungu azidi kumtumia...
Marufuku kuwakarimu wakaguzi hesabu - CAG
na Deogratius Temba
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amewataka wananchi kutowakarimu kwa namna...
Biblia inasema tusiache kukusanyka kila iitwapo leo
ukiwa kama mpendwa mtumishi wa bwana
twende kanisani tukamwamudu mungu siku ya kesho
nawatakia ibada njema
Waislamu wajizatiti kwa Uchaguzi Mkuu
Mufti aunda kamati kuwahamasisha nchi nzima
na Lucy Ngowi
VIJANA wa Kiislamu nchini wamehamasishwa kuchukua fomu za kugombea nafasi...
Timu ya Memphis Grizzlies inayoshiriki ligi Kuu ya kikapu ya NBA, imempeleka mchezaji wake wa kati Hasheem Thabeet kwenye timu ya Dakota Wizards inayocheza ligi ya wachezaji wanaochipukia ya NBA...
TANZANIA soccer suffered first setback when Premier League champions Young Africans crashed out of the African Champions League today after losing 1-0 on the road to Saint Eloi Lupopo of DR Congo...
Maafisa wa jela wakionyesha jinsi adhabu ya bakora ilivyofanyika Monday, February 22, 2010 3:23 AM
Wanawake watatu wa nchini Malaysia ambao walicharazwa bakora kwa kufanya mapenzi kabla ya...
MBUNGE wa Sikonge, Said Nkumba (CCM) juzi jioni alimuacha hoi Waziri Mkuu Mizengo Pinda, pale alipowapa salamu ya shikamoo watoto ili pamoja na wazazi wao wamchague tena kuendelea kuwa mbunge wa...
Madaktari Wapigana Hospitalini, Mtoto Afariki
Dr Sinomar Ricardo alidundana na daktari mwenzie badala ya kumhudumia mwanamke mjamzito Saturday, February 27, 2010 1:59 AM
Madaktari wawili wa...
Jamani sidhani huuu upuuzi wa wyne bridge unafaa kuendelea kule uingereza,..huu ni upuuzi na itachukua muda kuelewa
wewe umeachana na mwanamke .na mwanamke anaitaji mtu wa kumliwaza,...ati...
Jana nilikuwa naangalia Taarifa ya Habari nikakutana na Habari kwamba kuna Shule moja ys Secondari huko kanda ya Ziwa inaitwa Lake Wanafunzi na Walimu Wanakunya na Kukojoa Vichakani kwa Ukosefu wa...
Gaddafi calls for 'jihad' against Switzerland
Today, 05:33 am
Print Story
Libyan leader Colonel Muammar Gaddafi has called for a "jihad" against Switzerland. Skip related...
Nilipita mtaani nikaona watu wanajadili, moja ya suala wanalojadili ni namna udini ulavyozidi kuigawanya tz, haswa wanaodhaniwa kuwa wanaonewa kuwa ni wakristo, na kwamba hawaiamini selikali ya...
Kama kuna watu wanaochakarika na kusahau familia zao ni watanzania pamoja na kwamba maendeleo awaiifikii wachina ama wajapan
Jamani hili ni wazo tu ni vyema hata kama unafanya biashara jitahidi...
Friday, 26 February 2010
Circumcision: Zimbabwe's latest anti-HIV weapon
By Steve Vickers
BBC News, Harare
Lovemore bravely looks on at the work of the doctor and nurse as they...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.