Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Question: What is the difference between men and puppies? Answer: Puppies grow up. ************************ Question: Why do men always have a stupid look on their faces? Answer: Because they...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MHASIBU Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, Amos Kabisa, maarufu kwa jina la Angaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashitaka matatu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Please don't shoot me for the sensational title, I just want to find out what you think of cats. Personally i find them too wily to human conscious, that's why i somehow regard them as being...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Wandugu tumejadili mengi sana kuhusu suala la ufisadi mpaka ikatokea baadhi ya watu kuitwa mafisadi nyangumi, papa, na vidagaa. Nia nzuri ya mijadala hii ya kifisadi ni kutaka kukomeshwa kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti wafikiriaji kwa nini mauaji na tabia za kinyama tumekuwa tukizishuhudia ZAIDI katika mkoa wa Mara na si mikoa mingine nchini? Nini tatizo kwa wenzetu hawa hivi kuna study yoyote ya kisayansi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa sababu gani? kwa sababu ukimchukua ndugu yako wa karibu ikitokea kaharibu jambo, utashindwa kumchukulia hatua za kisheria kwa sababu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mtandao huu jana ulikuwa na habari ya kada wa UV CCM ambaye ni mgeni mjini Iringa kuibiwa simu yake katika mazingira ya kutatanisha bar moja maarufu ambako alikwenda kutafuta mwanamke kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana katika pita pita zangu huko Kigogo kwa Bint Kahenga nimekutana na Tangazo la mganga kutoka Moshi, nimeshangaa sana mie nishazoea matangoza ya mganga toka Sumbawanga, Tanga, Bagamoyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAZIRI wa Chakula, Kilimo na Ushirika, Steven Wassira, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam kujibu kesi ya madai, anadaiwa fidia ya sh milioni 90. Waziri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, Hivi karibuni nimesikia kuwa dawa za ARV (sijui kirefu chake nini) lakini ni zile zinazotumiwa na watu wanaoishi na VVU kuwa sasa hivi wafugaji wa kitimoto wanazitumia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Prof. Mahmood Mamdani has been appointed the new director of the Makerere Institute of Social Research (MISR). Previously, Prof. Mamdani worked as Director of African Studies, Institute of African...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Wizara ya Kazi, Ajira na Mandeleo imepanga kufuatilia utekelezaji wa sheria ya haki ya mwanamke anapojifungua akiwa kazini. Kaimu Kamishna wa wizara hiyo, Joseph Lugakingira, amesema kuna taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MWONGOZO wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi unamtaka kila mwalimu kufundisha, kwa wiki vipindi, visivyozidi 28 na visivyopungua 24. Vipindi kwenye ratiba hujaa vizuri bila mgongano na...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani (jina tunalihifadhi), mkazi wa Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani kujibu shtaka la kughushi cheti cha elimu. Anadaiwa kukiwasilisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BUNDI wa migogoro sasa ametua katika paa la CCM, na kusababisha watendaji wakuu kwenye Jumuiya ya Wazazi na Wanawake kutimuliwa, huku makada saba wa chama hicho wilayani Kyela, Mbeya wakitupwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By ABDULWAKIL SAIBOKO, 24th February 2010 @ 18:04 Daily News MYSTERY still surrounds identity of a Tanzanian ship saved from pirates by the US Navy in the Gulf of Aden earlier this week. The...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Sheikh Yahya (aliyeketi katikati) akiwakabidhi Francis (kulia) na Mbangu kitita cha 100,000/= muda mfupi baada ya kuwasili nyumbani kwake. Akizungumzia utabiri wake dhidi ya hukumu iliyotolewa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu wana JF,leo hapa jamvini kuna kitu nataka kuwajuza,kwa wale watumiao barabara ya Ali Hassan Mwinyi na ile ya umoja wa mataifa pale karibu na trafic lights za Salender kuna omba...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali , Saidi Mwema, aliwataka makamanda wa polisi wasigombane na waandishi wa habari. Mwema amewataka makakanda hao wahakikishe wanashirikiana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Did you know that tanzania is the best place to live in the world and the only place in Africa. for details: http://www.escapeartist.com/efam/72/International_Living.htm. copy and paste the link...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom