Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba Muhubiri Anthony Lusekelo(almaarufu kama MZEE WA UPAKO) amesababisha ajali na kumgonga mwendesha pikipiki mpaka kupelekea kifo chake.
Ajali hiyo...
Woman risks jail for noisy sex
A woman whose noisy sex sessions were officially branded anti-social behaviour is liable to find herself behind bars if she fails to stop excessively loud...
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa "Mtemi" wa TZ kuteua wastaafu katika nyadhifa mbalimbali mfano...Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Mstaafu Mark Bomani kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Kamati ya...
Mkazi mmoja wilayani Muleba katika mkoa wa kagera anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake wa kike wa kumzaa. Bwana Alex Felix, anatuhumiwa kumpa mimba binti huyo mwanafunzi wa...
Wanandugu napendabinafsi kumpongeza mh huyu kazi nzuri na usiriasi anaouonyesha kwa madereva na mapolisi wenzake ;bwana huyu achoki kuweka mafuta na kuanza kwenda kwenye ajali kutoka moshi to...
Wanandugu tukiwamitaa ya himo tumeanza kuona matendo machafu ya jeshi lletu
mh mwema tunaomba fwatilia hili,kuna ujambazi umefanyika mwezi mmoja uliopita,mmoja wa waliouwawa alikuwa polisi...
Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE kwa kupika. temeblea sehemu za starehe/biashara uone tena wa asili ya kihindi ndio balaa zaidi. Kwa kuchoma nyama weusi tunaongoza. Wanawake...
Nina mtoto wa jamaa yangu wa karibu anatumia madawa ya kulevya muda mrefu miaka kumi. Katika kipindi chote hicho, Mzazi wake (Mama) kamsumbukia sana kupata suluhu ya kumfanya aache madawa mpaka...
Kwa sasa TBC Taifa wanajadili tatizo linalozidi kushamiri hapa Tz la ndugu kugombea maiti. Hii inafuatia jamaa mmoja kupoteza maisha baada ya kushinda kesi aliyofungua wakati akigombea maiti ya...
Ndugu wanajamii,
Katika moja ya post za jamii forums kuliwahi kuwa na picha niliyoiweka kwenye attachment. Jumatatu nitakuwa na conference na watu fulani wa huko nchini Uholanzi kuhusu changamoto...
Waliomaliza JKT wadai watajiingiza kwenye ujambazi
Fredy Azzah na Vicky Kombe
BAADHI ya vijana waliomaliza mkataba wa mafunzo na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Desemba 25 mwaka jana...
Hawa Zain wanachezesha droo ya "Ongea uzawadiwe" lakini hizo namba wanazopiga hazionekani kwenye screen! Sasa tutajuaje kama hawapigii mtu wanayemfahamu? Sio wizi mtupu?
Asalam aley khum ndugu Watanzania, ni siku ya kwanza ya mwaka 2010
hii inatuonesha kuwa tayari tumeumaliza mwaka wa 48 tangu nchi yetu ipate uhuru,
tuanaingia mwaka wa 49. Pamoja na hayo taifa...
JERRY OKUNGU
An east african perspective
No, those were not Muslims that rioted in Nairobi for eight good hours last Friday. They were not even Kenyan Somalis that went to Jamia Mosque armed...
Wapo watu wengi katika makanisa yetu ya roman lutheran wanajitahidi sana kutoa mali nyingi kutoa sadaka kubwa hasa wakati wa leta mazao galani wanajitahidi sana;vyema iwapo wewe ulikuwa mmoja wapo...
Ndo inakuaje hii
Frederick Katulanda, Ukerewe
SIKU chache baada majeruhi wa tukio la ujambazi lililoua watu 14 kwenye kisiwa cha Izinga, Ukerewe kutoboa siri kuwa askari polisi wawili walikuwa...
Wanaosema hivyo hawana elimu yoyote isipokuwa wako reactive eti kutokana na mabalaa yanayotokea hivyo Muumba hayupo, badala ya kuwa- rational. Wengi wao hawajui madhumuni ya kuumbwa kwao na kuwepo...
25. Kyoto University , Japan
Kyoto University rated as 25th best university in World University Rankings 2009. Founded in 1897, Kyoto University has deeply considered its traditions of liberal...
Raisi wa Malawi Bingu wa Mutharika anategemea kufunga ndoa siku ya valentine tarehe 14 Februari 2010. Raisi Bingu atafunga ndoa na waziri wake wa utalii Calist Chipola. Bingu wa Mutharika mwenye...
Ukiwa unaelekea Gongolamboto (Barabara ya Kisarawe/Pugu), utakutana na njia panda ya kwenda Segerea/Kinyerezi na ndiyo hiyohiyo inayoelekea kituo cha POLICE staki shari - UKONGA.
Upande mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.