Tanzania is blessed with an abundance of mineral resources. In gold alone, Tanzania is estimated to be sitting on top of a US$39 billion treasure. When you factor in the large quantities of...
KITUO cha Afya cha Mwamgongo kilichopo Kigoma Vijijini, kaskazini mwa Ziwa Tanganyika kimepatiwa umeme wa nguvu ya kujua ili kunusuru mazingira hatarishi yaliyopo katika kituo hicho.
Kituo hicho...
HAWA CCM NA CUF -ZANZIBAR WANAITAJI MAOMBI SANA
Maelfu ya wafuasi wa chama cha CUF na CCM Zanzibar wakijumuika katika maandamano ya kuunga mkono kauli ya katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif...
Habari nilizopata punde ni kwamba kuna watu wawili wamefia mgodini huko kwenye machimbo ya Merelani kwa kukosa hewa. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo tar 21/01/2010.
Watu hao walikuwa...
Kwanini imekua kawaida kwa viongozi wa seriksli kuingis mitini wakati wanapotakiwa kutoa au kuwasilisha ripoti ktk kamati kuhusu maswali mazito?Naamini hizo kamati zinztumia pesa na muda kusubiri...
Gents pia mnaruhusiwa kuchungulia...maana na nyie siku hizi hamshikiki kwenye kujiremba lol!
Nimeshawishika kuandika mada hii na nyingine zitakazofuata kwa kuona jinsi wanawake tunavyodanganywa...
TANESCO yatangaza mgawo kurejea
Habari mbalimbaliTanesco ilitoa taarifa hiyo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Fedha na Uchumi Dar es Salaam jana na ilieleza kuwa kwa mwaka 2010, makadirio ya...
Wana JF
Nipo hapa Himo nilikuja Kufungua Kanisa langu jipya ila nimeona Hiki kinatugusa wote Hapa kwenye Posta Ya Himo Moshi Kilimanjaro Majambazi yamevamia na yameiba hela zote ambazo zilikuwa...
Kwa wale mnaosema wahaiti walistahili hayo matetemeko (yaani vodoo zao) soma kipande hiki chini uone aliyestahili kuangamizwa hasa ni nani.
Source: From The Times, UK January 21, 2010
The...
Naomba kwa wanaofahamu wanifahamishe nchi yenye sifa zifuatazo ili nianze utaratibu wa kuhamia huko na kuwalea watoto wangu waige utamaduni ninaoutamani
1. Nchi ambayo hawaombi msaada wala...
As part of the ongoing post EPA, post Twin Towers and post Mwananchi Gold clean up at the Bank of Tanzania, we have overlooked one important and critical improvement: We need a complete separation...
Kuna habari ya kusikitisha nimeisikia katika BBC radio leo asubuhi kuhusu kisa cha jamaa mmoja huko Ngorongoro aliyewaua watoto wawili kwa kuwaponda na marungu kisa eti amegundua kuwa sio watoto...
By mid-January 2010, several weeks of heavy rain had destroyed homes, crops, pastures, roads, and bridges in Tanzania.
The heavy rains had affected an estimated 40,000 people, many of whom lost...
Je, mahakama inao uwezo wa kubadilisha sheria bila kupitia tena bungeni? Kutokana na maelezo ya Mh Marmo, naomba wataalamu wa sheria watusaidie.
*************************************
Serikali...
Ndani ya hizi siku mbili ikulu na mkulu wamedominate headlines za magazeti bongo kuhusu protokali juu ya msaada wa ambulances 2 zenye thamani ya just 10% ya bei ya nyumba ya gavana wetu!
Well JK...
Bunge latupa taarifa za mashirika ya umma
na Deogratius Temba
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mashirika ya Umma, imekataa kupokea taarifa za mashirika matano ya umma...
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombare-Mwiru ameuponda mkakati wa wanawake kutaka kugawana sawa nafasi za uongozi na wanaume akisema wananchi wanahitaji viongozi bora wa jinsia yoyote ile na...
Frederick Katulanda, Ukerewe
WAKATI Jeshi la Polisi likitangaza kuendelea na msako wa majambazi wanaotuhumiwa kuvamia Kisiwa cha Izinga na kusababisha vifo vya watu 14, imebainika kuwa...
jamani hili limeanza kunishtua hivi watu serikalini wanaajiriwa kwa ajili gani,...sasa tumeanza kuwapa majembe ,yona kila kazi ambayo kuna watu tumewaajiri kwa ajili hiyo
Dawasco wameingia mkataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.