Waziri agoma kuivunja TRL
na Irene Mark
LICHA ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu, Omary Chambo, kuihakikishia Kamati ya Bunge kwamba mkataba kati ya serikali na Kampuni ya Rites utavunjwa...
Hii nimeipata asubuhi hii. Mchungaji Antony Lusekelo, Mzee wa Upako' amepata ajali kwa kumgonga mwendesha pikipiki na yeye kulitelekeza gari lake eneo la tukio kwa kutoka mbio na kutokomea kusiko...
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari ..watu...
Heshima mbele kwa wana JF wote!
Kumekuwepo tabia ya wanasiasa kadhaa hususani wakuu wa wilaya nk kupiga marifuku uuzaji wa mazao ya kilimo katika masoko yanayotokea kwa kisingizio cha usalama wa...
Dear JF,
It is amazing and very interesting,the ionic detox footbath process is an amazing cleansing method for detoxifing your entire body by bathing your feet in worm water while using positive...
Kuna habari hivi sasa kuwa JK amegoma kufungua jengo la CRDB shinyanga lililokarabatiwa na nyeti zinasema kuwa kuna ubadhirifu wa hisa za wananchama -- ambazo zimechotwa kinamna na -- kutokana na...
Vibonge Kuanza Kulipishwa Nauli za Watu Wawili Kwenye Ndege
Mwanaume huyu kibonge alipigwa picha wakati wa safari yake mwaka jana kwenye ndege ya shirika la ndege la Marekani la American Airlines...
Many tall buildings in Africa are not built with disaster in mind
The earthquake that hit Haiti last week showed how fragile life really is.
One moment, the people of Port-au-Prince were going...
TUME ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imeanzisha mfumo mpya wa wanafunzi kuomba kujiunga na vyuo vikuu ambapo hivi sasa wanafunzi wanatakiwa kuomba kwa kutuma ujumbe kwenda namba 15789 au kutumia...
Mimi wadau nashindwa kuelewa huyu mhandisi kawambwa anayetetea wahindi wa TRL je ana hisa pale? au ni uoga tu wa kuiogopa IMF?
Mawaziri kama kawambwa hawawezi kuiendeleza Tanzania, natoa wito...
Siku za karibuni ni rahisi kusikia kwamba "Askari wetu wamefanikiwa kuwauwa Majambazi kadhaa katika tukio la kurushiana risasi ila tunashukuru hakuna Askari aliyejeruhiwa"
Ukweli utathibitishwaje?
Hivi Serikali iko wapi ili kuweza kuhakikisha mauaji kama haya hayatokei, lini serikali imeweza kuwachukulia hatua washiriki wa mauaji kama haya? Tunajua iliwachukua muda muda mrefu kwa viongozi...
Na Saed Kubenea
MABILIONI ya shilingi za walipa kodi, ambayo Edward Lowassa alishinikiza yalipwe kwa kampuni ya kutengeneza matairi ya General Tyre (GT), yameteketea.
Taarifa kutoka kiwandani...
Leo, jana na juzi nasikiliza habari za mkanganyiko uliotokea huko Ikulu, kuhusu magari ya kubebea wagonjwa yaliyokuwa yakabidhiwe na Raisi wetu siku ya Jumatatu 18/01/2010. Badala ya kupewa wilaya...
Huu ni utafiti wa kitaalamu juu ya siasa za Zanzibar na mabavu yanavyotumika kuendeleza kuvitawala visiwa hivyo chini ya CCM.
Ningelipenda mukakumbuka kuwa kushinda chaguzi ni moja ya sera ya...
Hawa watawala ni wazuri kweli katika kubuni kero. Unatoka na gari lenye sticker safi ya insurance na road licence (ambazo kila mtu anajua zinachangia ktk pato la taifa). Halafu unasimamishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.