Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema ‘kama Watanzania wote wangekuwa wacha Mungu na watenda wema, mafisadi na watenda maovu ndani ya Taifa wasingekuwapo, hivyo akawaomba viongozi wa dini nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naomba misaada ya informations, nilikuwa niko bizzi kutafuta informations zifuatazo: #Katiba ya chama cha Wananchi CUF....(ya CCM ninayo tayari, kama unaitaka sema tuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha kuwa hadi kesho ugawaji wa samaki waliovuliwa kwa njia haramu katika fukwe za bahari eneo la Tanzania uwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Date::1/16/2010 CCM Zanzibar sasa washiriki maandamano ya CUF Maelfu ya wafuasi wa chama cha CUF na CCM Zanzibar wakijumuika katika maandamano ya kuunga mkono kauli ya katibu mkuu wa CUF Maalim...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Opposition party supporters at a past demonstration in Dar es Salaam. Picture: File Written by The EastAfrican Sunday, January 17 2010 Tanzanian political parties that eye the October 2010...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
matatizo ya wananchi yatatuliwa na wannanchi. usanii wa kuwa na raisi na wabunge hapa kwangu ni historia. dunia inasubiri sisi ili wao wajue wafanyaje hiki ni kipindi cha kugawana majukumu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu hii imekaaje? WHO yatoa msaada wa magari 25 (Toyota Land Cruiser Mpya) yaliyogharimu fedha za kitanzania zaidi ya shilingi milioni 986 kusaidia mpango wa Afya ya mama na mtoto nchini, na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jeetu Patel, Manji wawatikisa wabunge Na Ramadhan Semtawa Mwananchi 16/Jan/2010 VITA ya kibiashara kati wafanyabiashara maarufu nchini, Yusuph Manji na Jayantkumar Chandubhai Patel, maarufu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
By Kennedy Ihewuokwu Please don’t crucify me yet, read and get my point. I am not evil or an atheist. I so much believe in God and as a catholic, I believe in His presence in the Blessed...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jukwaa huru ambalo kila mtu anaweza kulitumia kwa faida zake au na wengine bila kutozwa gharama zozote na uongozi wake.Pia Viongozi wake wana moyo wa kujitolea kufanyakazi bila malipo yoyote ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Call to act against Loliondo human rights culprits By Edwin Agola 16th January 2010 Loliondo area Human rights activists have called on the government to take action regarding inhuman...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidieni wanajf, ninaambiwa namwonea wivu Diwani kwa kuwa anatembea na mwanamke fulani ambaye niliwahi kuhusishwa naye kimapenzi mwaka 1999 japo haikuwa kweli. Diwani wetu hajawahi kutembelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati wowote yanapotokea majanga, aidha ndani ya nchi zao u hata nje ya nchi zao raia wa nchi zilizoendelea wamekuwa na haraka ya kusaidia na kutoa misaada kwa haraka zaidi. Ninauliza hili...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
as the first one, Napenda Kungfu, hivyo nachagua China. jamani unasemaje?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Je umewahi kujiuliza ni kwa jinsi gani kiswahili chetu kitamu cha Tanzania kinavyochangia kudumaza au kurudisha nyuma maendeleo au harakati za kuondoa uovu katika jamii? Hebu angalia mifano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukubali baadhi ya Watanzania hasa wanaoshika madaraka na wafanyabishara ,lazima wafike miji hii ,kwa maana watafanikiwa!!!! Namfahamu mfanyabiashara mmoja asili ya K'njaro,ambaye anaisha wilaya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba mwenye wasifu na picha ya mkuu wa wilaya ya kilosa naomba aniwekee hapa au ani PM kunahoja nataka kuitoa.
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Jamani Juma Nkamia yupo wapi?Simuoni TBC sikuhizi.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mtoto huyo ambae yupo nchini India, Twinkle Dwivedi, mwenye umri wa miaka 14,hutoka damu hiyo kwenye ngozi bila hata kukatwa.Mtoto huyu anatoa damu machoni,puani,shingoni,na kwenye ngozi amewaacha...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom