Teenager stabbed to death over 'petty' Facebook jibe
Kiran Randhawa|Justin Davenport
21.12.09
A teenager was stabbed to death after a petty row triggered on Facebook, it was claimed today...
Angalia hii video utapata jibu nice video!!
http://www.google.com/url?q=http://www.youtube.com/watch%3Fv%3DX-RlZOJ4d14&source=video&vgc=rss&usg=AFQjCNEanx4xpxFVSzSzim61qrg0-OpI3A
leo asubuhi nilikuwa naangalia habari ya channel10 kuhusu kusakwa kwa matapeli watatu wa viwanja, kamanda Kova alisema kwamba hawa jamaa wanauwezo wa kutengeneza hati bandia ambayo ina taarifa...
WENGI walimwona ni tumaini lililorejea. Tukaanza kuona nuru ikimulika gizani. Matumaini yaliyofifia yakafufuka. Kumtazama tu ikawa kama ni tiba. Wengine wakatuambia huyu ni chaguo la Mungu. Wengi...
By Faustine Baraza
Tanzania and drug barons
I recall the issue of drug barons in Tanzania was covered extensively in the media in 2005. President Jakaya Kikwete who was coming into power...
Wahadhiri 4 waliofukuzwa chuo cha out nawea kusema wamekufa kishujaa;hili ni kutokana na mambomengi yafanyikayo vyuoni kutokuwa hadharani;ila hili na kutokana na maswala binafsi ya mbwete akuna...
Wassalaaam alheikum wale wakristo bwana asifiwe wale wakina kimbonde
habarini za saiz ;wanandugu kuna mdau kantumia barua ya malalamiko nikaona ni vyema sie kama wadau wanusa ufisadi tuangalie...
In certain extreme situations, the law is inadequate. In order to shame its inadequacy it is necessary to act outside the law to pursue natural justice.
Cabby drives hours to return lost 10G
He went the extra mile.A broke but honest cabby spent his Christmas Eve driving back and forth to Long Island to find the...
Nimelazimika kujiuliza swali hili kwamba vyombo vya habari vya Mengi ni fimbo inayotumika kuwachapa watanzania?
Leo Itv ilikuwa na kipindi kilichorushwa kujadili mustakabali wa taifa na kilikuwa...
Dah
Huyu 'dokta' inasemekana amekuwa akitibu wagonjwa pale Muhimbili bila kuwa na ajira wala kufahamiKa na mtu yeyote kwa kipindi kidogo...Wafanyakazi na wagonjwa wamekuwa wakimlalamikia kuwa...
Hivi jamani kila siku magazeti yanatangaza kuhusu hawa watu matapeli ambao wanatumia ujanja wa kuwalaghai watu kwamba wanafanya biashara! Hawa matapeli huja na 'gia' kwamba uwape pesa fulani...
Salaam Wana JF,
Hivi Mawaziri wetu sio Watumishi wa Umma? Na kama sio Watumishi wa Umma, kwanini wanalipwa mishahara yao na Serikali kuu? Na kama ni ndiyo, kwanini wanaruhusiwa kujihusisha na...
matokeo ya kidato cha pili 2009 yametoka ambapo 35% ya watahiniwa wote wamefeli,
Nini maoni yako.
Soma Pia:
Matokeo ya Kidato cha pili-2011
Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa...
....kwa muda nimekuwa nikilalamika kuwa hatuna local based FM station ambayo tunaweza kusikiliza on line apart from Radio Maria,na inaonekana kuwa vijana wa arusha wamekuja kututoa kimasomaso,(i...
KIKWETE ANGOJEA HISANI YA MAKADA
Wakati miezi takribani tisa imebaki kabla ya uchaguzi mkuu,jahazi la mkuu wa nchi inaonekana kupoteza nguvu katika chama na hata makundi ya kijammii...
Wadau hii ishu ya profesa Baregu kunyimwa mkataba mi sijailewa hasa ina misingi ipi! Baregu hakupewa mkataba mpya wa ajira kama ilivyokuwa kwa wahadhiri wengine waliostaafu kama yeye.
Kwa...
Kampuni ya Yono ambayo ni kampuni ya udalali na ile ya Majembe zote zinamilikiwa na wana CCM Maslahi.Wakati Yono inamilikiwa na Mbunge wa Njombe Magharibi, Yono Kevela. Majembe inamilikiwa na Seth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.