Polisi jamii ni ile hali ya maisha ya usalama wa raia kwa ushirikiano baina ya polisi na raia (ambao ndio wanalindwa na polisi). Elimu ya kujiunga na jeshi hilo isiwe kuanzia kidato cha nne...
1. If time doesn't wait for you, don't worry! Just remove the damn battery from the clock and Enjoy life!
2. Expecting the world to treat you fairly because you are a good...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imekumbwa na kashfa ya Daktati feki anayetibu na kutapeli watu fedha.
Jamani hivi tutafika kweli kwa hali hii???? Mwenyezi Mungu linusuru Taifa la Tanzania kwa...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imeingia katika kashfa mpya baada ya mtu mmoja kubainika akitoa huduma za kidaktari na kuwatapeli fedha wagonjwa kwenye hospitali hiyo.
Tayari mtu huyo, ambaye...
WANAKWAYA watatu wa Kanisa la African Inland Tanzania (AICT) Mlimani Sayuni wilayani Kahama, katika mkoa wa Shinyanga, wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya baada ya kutwangana makonde wakigombea...
Rufa ya mwanamziki Babu seya inatarajiwa kuanza kusikilizwa 30 /11/2009, na itakuwa chini ya majaji 4, akiwemo yule aliyesikiliza kesi ya zombe na wenzake,
-Nani anaweza kubashili...
Furaha Kijingo na Festo Polea
TAASISI mbalimbali, vyuo, vituo vya watoto yatima na watu binafsi jana vilikwamisha kazi ya ugawaji wa zaidi tani ya 100 za samaki waliovuliwa kinyume cha sheria...
Kuna makala katika Raia Mwema leo inazungumzia kuhusu campaign financing. Inasema mkutano utafanyika 18th January,kujadili hili swala;kama Makampuni ya wawekezaji yanaruhusiwa kutoa michango,na...
Habari zenu wana JF. Katika Shughuli za kila siku nilipata kuchat na mzungu mmoja afanyaye kazi Barrick Gold, Na tuligusia mishahara wanayolipwa wageni na wazalendo na yeye moja ya sababu alizoto...
Kobe mkubwa anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka zaidi ya 120, (pichani), bado anaendelea kuishi kwenye shamba la kahawa la Kibo na Kikafu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Kobe huyo anadaiwa...
Siku za hivi karibuni nimeweka thread iliyokuwa inataka kujua dhambi ya asili iliyotendwa na Adamu na Eva, (Uzinifu au ni tunda kweli?)
Siku ya Alhamis 14/1/2010 saa 4 asubuhi, WAPO Redio...
Haya sasa uchaguzi wakaribia!! Sijui tutegemee nini!! Maranyingi wananchi wanarubuniwa ili kuwapigia watu fulani kura na hasa kwenye kura za maoni! sijui mwaka huu itakuwaje. Siasa za namna hii...
1. The best way to get even is to forget...
2. Feed your faith and your doubts will starve to death...
3. God wants spiritual fruits, not religious nuts..
4. Some folks wear their halos much too...
Tunawaenzi vipi wasasnii wetu?
wapo wengi wa ngoma na maigizo, miziki ya dansi na michezo.
je tunawaenzi vipi, wao na mchango wao kwa jamii?
Morris Nyunyusa, ni nani anamkumbuka?
Wachezi ndio...
They can not fish Whale in Canada and US now is time to take advantage of poor country.
From IPP MEDIA
Under the agreement, 30 Japanese vessels will pay $35,000 license fees to fish in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.