Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani hizi danadana zitaisha lini ili wawaambie watanzania ukweli kwamba kuhamia Dodoma imeshindikana?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HIVI karibuni Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) waliingia mkataba na kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart ili iwasaidie kusimamia biashara ya usafirishaji wa abiria jijini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alfred Nchimbi afuata nyayo za Waziri Emmanuel Nchimbi. Soma mahojiano yake hapa http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=12095 na Tanzania Daima
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimejiunga na jamii forums tangu mwezi wa tisa, lakini kuna kitu nimejifunza hapa jamvini. Kuna watu thread zao hata kama sio za moto zitaopewa thanks kibao, hadi utashangaa. Nyani Ngabo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hili pengine linaweza kusaidia kupunguza ongezeko la ukimwi nchini ebu tusaidiane jamani lipi bora kati ya hayo at keast madada zetu wawezekumaliza vyuoni bila kuogopa kwenda kupima ngoma ipi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MKAZI wa Ukonga Mombasa, Charles David Shauritanga (31) leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Samora pamoja na Mahakama ya Wilaya ya Ilala na kusomewa mashtaka tofauti likiwemo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Date::11/11/2008 Matajiri CCM wazidi kubanwa Na Ramadhan Semtawa, Dodoma Mwananchi KAULI ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete kutaka wanachama wachague siasa au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la Tanzania Daima la jana tarehe 13/01/2010 nadhani mtakuwa mlibahatika kusoma makala ya Mwalimu mkuu wa watu bwana Mayega yenye kichwa cha habari 'RAISI...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau, Natafuta profile ye Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg. Isidore Shirima. Mwenye nayo naiomba. Shadow
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hivi wadau kuna kipindi tulisikia kuwa yule jamaa aliyekuwa anaendesha mtandao wa ZE UTAMU uliojizolea umaarufu mkubwa wakati ule alikamatwa na kurejeshwa Bongo ili ashtakiwe, sasa yule jamaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali kupitia idara ya Habari Maelezo kwa mamlaka ya kisheria aliyopewa waziri imelifungia gazeti la Kulikoni kwa siku 90 kwa kuandika habari ambazo zimeligusa jeshi la ulinzi la wananchi wa...
0 Reactions
136 Replies
22K Views
Watu wengi duniani wameshuhudia mvuto wa Qingdao kutokana na mji huo kuandaa michezo ya mashua yenye matanga mjini humo wakati wa michezo ya Olimpiki ya Beijing mwaka 2008. Baada ya kufanyika kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kati ya wasanii hawa wawili unafurahishwa zaidi na yupi kwa kutumia kiswahili vizuri?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna Thread moja ameianzisha Pakajimmy ya waziri wa Kenya anaitwa Njonjo ambaye hapandi ndege inayoendeshwa na mswahili na anajuta kuzaliwa mswahili, tukija katika swali langu la manjojo, hili...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Is this true? Power=work done/Time Knowledge is power i.e. Knowledge=power, Therefore by substitution Knowledge=work done/Time But Time is money,i.e. Time=Money This becomes Knowledge=Work...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Equations! – One of the best; I have read in a LONG time… Equation 1 Human = eat + sleep + work + enjoy Donkey = eat + sleep Therefore: Human = Donkey + Work + enjoy Therefore...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
asaalam aleykhum al jamia, nimekua nafikiria kusomea mass communication na ningependa kusoma out of Tz, sanasana US, kwa wenye taarifa semister huanza lini huko na process ziko vipi za kuapply...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pombe za Bure Kwa Wanaojitolea Damu Wednesday, January 13, 2010 5:22 PM Benki moja ya damu ya Marekani imeanzisha kampeni ya 'Toa Damu Pata Bia' ambapo watu wanaojitolea damu watapewa pombe za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hapa Tanzania Serikali za mitaa ni dhaifu. Ni wangapi kati yetu ambao tunamfahamu diwani wetu ni nani. Nimeona USA jinsi ambavyo sheria a mitaa zinawekwa kwamba hairuhusiwi kupigana ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
it has been like a tradition worldwide that the media houses support each other especially during bad times. But to my utter dismay after the suspension of local investigative paper Kulikoni i...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom