Polisi ivi karibuni wametangaza kikosi maalum cha kuzui uhalifu na kutoa namba
ndeeefu kweli za kupiga, wamedai ukipiga tu jamaa wako fasta mara moja
wanatokea kwenye tukio...sasa hii...
Africa needs development, not God
By Leo Igwe
MY attention was drawn to an article "As an Atheist I truly believe Africa needs God" published on December 27, 2008 in the Time On-line in the...
Wana JF ninaomba mnisaidie kuelewa katika hili. Ninashindwa kuelewa jinsi nguzo za taa za barabarani zilizowekwa katika barabara ya Kawawa - kutoka kwa Makamba (Karume) mpaka njia panda ya Kigogo...
TRENET Television Kwa Sasa haiko Hewani na Nimejeribu hata kucheck kwenye Site yao ya Effatha Ministry hamna Ufafanuzi wowote juu Kusitisha kwao Kurusha Vipindi vyao.
Je Kuna yoyote ana...
HAWA wote ngoma droo. Jamaa hudai chao mbele kwa mbele iwe kampuni au nchi inakwenda mbele, iko pale pale au inarudi nyuma potelea mbali.
Basi jinsi Obama alivyowashikia bango viongozi Waafrika...
Date::3/17/2009
Baada ya tamko la polisi majambazi wapora Sh40m kweupe Dar
Festo Polea na Hidaya Kivatwa
Mwananchi
Siku moja baada ya Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Dar es salaam...
Nimefuatilia kesi mbalimbali za matukio ya wizi, na ufuatao ni muhtasari mfupi wa mtiririko:
Ukiiba billion 40 - hakuna kesi, hakuna anayekufuatilia, unakuwa free man. Rejea suala la Kagoda...
Habari za Kitaifa Habari zaidi!
ATCL yaomba kustaafisha 70
Gloria Tesha
Daily News; Tuesday,March 17, 2009 @20:19
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepeleka serikalini mchanganuo wa...
Mkurugenzi wa bank ya baclays dar es salaam amelipa gazeti la sauti ya watu siku saba kuomba radhi kwa kicha cha habari "MENGI AIIBIA BACLAYS"....
limeichafua ofisi yetu na kuonekana tunaibiwa...
WAFANYAKAZI wanaokadiriwa kufikia 150 kati ya 297 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), watapunguzwa kazi ili kuweka uwiano kati ya watumishi na idadi ya ndege zinazotoa huduma ndani ya shirika...
Wakati naperuzi 'literature review' on the state of political economy of Tanzania over the years, nimepata bahati ya kusoma insha ya mchumi wa Kitanzania akielezea vyanzo vya umaskini wa nchi za...
Mbwa aliyezua tafrani Z`bar apelekwa NY
2009-03-15 14:07:06
Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Hatimaye mbwa aliyedaiwa kuwa kero kubwa kwa wafanyakazi wa hoteli ya Kimataifa ya Zamani Zanzibar...
Fourth Burundian albino murdered in a month
2 days ago
BUJUMBURA (AFP) An albino man was murdered and dismembered overnight in Burundi by suspected smugglers with links to Tanzanian witch...
Dear JF Businessmen,
We have a consignment of fragile laboratory equipments to be shipped to Zanzibara. The final destinations of the equipments are Pemba and Unguja
If you are a...
Beda Msimbe
Daily News; Monday,March 16, 2009 @09:00
Barabara ya Kilwa ambayo imejengwa njia mbili inakaribia kumalizika huku kituo cha mabasi kikubwa katika barabara hiyo cha Mbagala Rangi...
Since,too many peole in the Forum are being too amoruos,,and since The Pope is coming to Africa today,let us remine ourselves of these rules. This Pope chose this name ,because he believed that...
NINAANDIKA kwa niaba ya vijana wa Kinondoni Biafra na maeneo karibu ambako tunafadhaishwa na kitendo cha kampuni kubwa kama Zena Mobile phones kuvamia uwanja wetu na kutunyima nafasi ya kufanya...
If you have found yourself in a situation where the process seems to change, accountabilities are uncertain and deadlines are missing, then perhaps you have a people, process and technology...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.