BAADHI ya daladala katika jiji la Dar es Salaam zimegoma kuendelea kubeba abiria kutokana na Sumatra kushusha bei za nauli.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Nifahamishe baadhi ya madereva...
Tumeshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni harakati mbalimbali za kuungana kwa vyama vya siasa Tanzania lakini baada mda mfupi jitihada hizo husambaratika.Vilevile tumeshuhudia muafaka wa CCM na CUF...
WIZI ULIONIKUTA
Nimeonelea ni vema niwajulishe mbinu hii ya wizi ili isiwa fike nanyi .
Kuna kijana ambaye anadai ametoka Morogoro na ametumwa na mzee wake kununua gari kumbe ni taperi na mwizi...
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale...
WAJUMBE wa baraza la ushauri la mkoa wa Rukwa (RCC) wamepitisha rasmu ya pendekezo la kuugawa mkoa huo katika mikoa miwili na kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Mpanda kwa lengo la kusogeza huduma kwa...
Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks...
Kuna institution moja inaitwa deci, nayo imeshamili na imeota mizizi kwani wanamatawi sehemu kadhaa wa kadhaa hapa dar kama Mabibo mwisho, Tegeta, Kigamboni na Mwananyamala n.k , Hii ni tasisi...
Wakala wa meli ya wezi wa samaki ajisalimisha
Na Festo Polea
HATIMAYE Wakala wa Meli ya Tawariq1, iliyokamatwa hivi karibuni ikijihusisha na uvuvi haramu katika ukanda wa Tanzania ambaye...
Swali hili najiuliza mara kwa mara na sipati m jibu muafaka, kama kweli Jiji kwa maana ya City Council na Manispaa zake yani Ilala,Temeke na Kinondoni,Wanatimiza wajibu wake kwa...
The second tallest building in United state and 7th tallest building in the world known as sears tower in chicago illinois now to become Willies Tower.Not sears tower anymore.
Just in case...
Mh.Serukamba katika gazeti la Mtanzania la 07/03/2009 anasema Sitta na mwakyembe wanaihujumu CCM.Haya maneno ni ya kweli kwa mwakilishi wa wananchi na anayewatakia maendeleo wananchi wake.
Je...
RE: FAKE DEGREES? AT LEAST NOT MAHANGA
I have keenly followed recent debate in the press and in some blogs that disputes degrees of some individuals for the reason that Tanzania Commission for...
Wandugu
Nimesoka habari ya Mh. Mwinyi kupigwa kibao shavuni kwa masikitiko makubwa.
Watu walianza kwa kuwasema mafisadi hadharani bila hofu, watu wakasubiri shubiri ingefuatia kukawa...
I see you are meditating, or at-
tempting to meditate. Now there are two very good ways
of meditating, Lobsang. You must be content, you must
be tranquil. You cannot meditate with a...
Wadau wote heshima mbele...
naomba sana msaada wenu maana nimefuatilia kwa makini sana nimeona hapana ni usanii mtupu.
Lengo la SACCOS zetu hizi ni kutuwezesha sisi WA KIPATO CHA CHINI tuweze...
Huyu Dina naye kwa kuongezea chumvi story za watu.....hajambo, but you just cant stop listening to what she is saying!
Dullonet Tanzania | Sikiliza Hekaheka toka mtaani na CloudsFM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.