Hivi unafahamu kwamba kuna watu wengi sana miongoni mwetu ambao hutumia fedha nyingi kwa vitu au mambo yasiyo ya lazima? Kwa kadri tunavyojipatia fedha zaidi ndivyo tunavyoitumia bila mpangilio...
MWANAUME mmoja anayejulikana kwa jina la Tungaraza Harison [31] amejiua kwa kunywa sumu baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa rafiki yake kipenzi.
Tungaraza alijiua kutokana na aibu aliyoipata...
How the false hearted prey on the hopeless romantic...very sad...
LAGOS (Reuters)
A Nigerian undergraduate has been sentenced to 19 years in prison for obtaining $47,000 (33,382 pounds) from...
Kuna mdau katuma kupitia maoni katika blog ya Mjengwa (under; E bwana,tutakula wapi pasaka?) kuwa serikali ina mpango kuanzia mwakani kufuta kimyakimya shule za boarding(na hii inafanyika bila...
Ndesamburo nusura avamiwe mkutanoni
Mussa Juma, Moshi
MBUNGE wa Jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo juzi nusura avamiwe baada ya walinzi wa Chadema kumuwahi mwanamke mmoja aliyekuwa...
( ni kupitia mjengwablog
Pichani ni jina la gazeti jipya la ' Kwanza Jamii' linalotarajiwa kuonekana nchini kote kuanzia Machi 31, 2009. Ni jarida la uchambuzi wa masuala yanayohusu na kuigusa...
zinaumiza sana. ukitaka kujua kuwa sehem ina maendeleo, wakazi wa pale hudumu eneo hilo kwa muda mrefu. mtoto anaweza kuzaliwa hapo na kuolea hapo. mahitaji yake anayapata hapo! hii ni tofauti kwa...
Naomba niwasilishe hoja ya kuwa Jamiiforums imekuwa sasa part of mainstream media na kumbe matusi tunayotukanwa na new members wanaokuja na lengo la kupamba administration ya JK ni kutokana na...
THEY ARE STILL OUR SLAVESdo not read!! Uhhhhh!
I SAW THIS AND THOUGHT WE SHOULD SHARE:
Greetings All,
For those of you who heard it, this is the article Dee Lee was reading on a New York radio...
Mwizi mzoefu katika kituo cha magomeni mapipa ameambulia kisago cha nguvu na kutobolewa macho yake baada ya kukwapua hereni za dhahabu kutoka kwa abiria mmoja aliyekuwa kwenye daladala iliyokwama...
1.
...kwa hisani ya Globalpublisherstz...
2
...kwa hisani ya Globalpublisherstz...
3..
4.
Picha zinaongea mengi!
...Inashangaza na kustaajabisha, inasikitisha, Inatisha...
2009-03-14 08:55:00
More queries than answers in Ngeleja power remarks
Energy and Minerals minister William Ngeleja as he addresses a press conference on the power generation in Dar...
Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks...
Fight corruption, improve infrastructure, pleads Mo
2009-03-14 11:37:21
By Perege Gumbo
Notable mobile communications entrepreneur Dr Mohamed Ibrahim has said corruption and poor...
wanandugu habarini za jioni/aubuhi/mchana
kwa masikitiko makubwa;muda si mrefu nimetoka mitaa ya chalinze kwenye shuguli za kikazi;kwa bahati nashugulika na watu wa vijijini;katika pita pita ya...
Kuna tetesi kuwa mitambo chakavu ya Dowans/Richmond huenda ikanunuliwa kinyemela na ingawa jambo kama hili si rahisi kwa nchi inayozingatia sheria, Tanzania chochote chawezekana.
Natoa ombi kwa...
Kuna tetesi kwamba makamu wa Rais Dr Shein atazuru mji wa Bukoba ili kufungu kituo kipya cha Radio binafsi inayomilikiwa na mbunge wa Bukoba mjini na waziri mdogo wa mambo ya ndani Mh Kagasheki...
Mchungaji wa Pentekoste mbaroni kwa tuhuma za kubaka wanafunzi
Na Shija Felician,Kahama
RAIA mmoja wa Rwanda anayedaiwa kuwa ni Mchungaji wa makanisa ya Pentekoste Tanzania, anashikiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.