Na Mashaka Mgeta, Dodoma
Zaidi ya hundi 6,000 za malipo ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimeharibika na nyingine kadhaa kurejeshwa Hazina, baada ya wahusika wake...
Kwa wale wenye simu za mkono ambazo zina uwezo wa kutumia internet, WLAN, n.k. wanaweza kwenda www.fring.com na ku download application iitwayo Fring. Fring inajumuisha applications zingine kama...
Wengi tunaelewa kuwa, baadhi, nasema baadhi ya wandugu zetu wa Nigeria, kipindi cha nyuma wamekuwa wakisifika sana kwa ulaghai, hasa wa kuwaibia hela watu mbumbumbu au wasio na elimu ya kutosha...
KWA mara ya kwanza katika historia ya sherehe za kuagwa kwa maofisa wa polisi nchini, makamanda wa polisi mkoa wa Mbeya na Mwanza wamezawadiwa gari kila mmoja.
Ingawa jambo hili...
Watumishi wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakiwa wanaendelea kupiga kambi nje ya Ikulu ya Mtukufu Rais Mpendwa wa Watu aliyechaguliwa kwa asilimia 80 ya wapiga kura ambaye chama chake...
Patakuwa hapatoshi hapa bungeni
Mwandishi Wetu
Anne Kilango Malecela aliwasha moto mkali wakati akichangia katika mjadala wa Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Serikali Juni 19 mwaka huu...
FIFA rules out giving funds to ZFA
ABDALLAH MSUYA
Daily News; Saturday,July 26, 2008 @00:05
The world soccer governing body, FIFA, has clarified that the Zanzibar Football Association...
ZIMBABWEAN HOPEWELL RUGOHO-CHIN'ONO NAMED CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST 2008
Hopewell Rogoho-Chin'ono, CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008 : Picture by CNN.
2008...
Kuna taarifa zilizothibitishwa na Mamlaka ya usafiri wa Anga Nchini (TCAA) kuwa ndege mbili ndogo zimepotea wilayani Kilwa.
Moja ya ndege hizo, iliyokuwa inatoka Dar kwenda Kilwa ilikuwa na watu...
Yes JF, I just want your opinion on this. Would you haggle hard on the price of wedding or engagement ring for that matter?!
[God forbid]...And how about over a loved one's coffin, would you...
Ndugu wana Jf hivi yale mazungumzo ya Rais wetu na wananchi kila mwisho wa mwezi kupitia vyombo vya habari yamekwenda wapi???????? kuna mtu yoyote mwenye habari kwa nini Rais wetu hafanyi tena ya...
Wapendwa,
Kufuatia shughuri zangu sasa niko Iringa na ninakaa mitaa furahi maeneo ya Wilolesi. Ni zaidi ya Wiki tatu sasa tangu lundo la kufusi kumwagwa katika barabara ya mtaa wetu kwa...
Looming land battle at the foot of `Mountain of God'
CORRESPONDENT BUSINGE MWANKINA
THIS DAY
Arusha
THOUSANDS of Tanzanians of the Maasai tribe are threatening to make a mass exodus to...
Tanzania inatakiwa kufikiria kwa kina kuhusu tatizo la mafuta kwa future ya nchi yetu. Inabidi tuanze kufikiria kutumia train za kwenda mikoani za kisasa na kufungua plan za kubadilisha engine za...
Kama wiki hivi nilisikia kupitia vyombo vya habari kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Abbas Kandoro aking'aka analipo ulizwa kuhusu michango ya secondary aliyo kuwa akichangisha hivi karibuni...
Nimeona leo tuangalie picha zinazoonesha watu wa Japan wakishehereka na kitu wanaita Hōnen festival, sherehe ambayo hufanyika kila mwaka.
Sherehe hizo zilifanyika katika jumba la ibada...
Wafanyakazi wa Shoprite - Kamata leo asubuhi wamegoma kufanya kazi wakishinikiza uongozi kuwaongezea mshahara na pia wanalalamikia uongozi mbovu uliopo madarakani. hadi hivi sasa bado wapo mbele...
I saw this on drfaustine.blogspot.com and thought I should share it with you.
This is an article was read by a Caucasian, one Dee Lee on a New York radio station.
THEY ARE STILL OUR SLAVES We...
Ninajitahidi ili niweze kuleta linki ya maelezo ya mpango wa AGOA-African Growth Opportunity Act ambayo ilisainiwa toka enzi za Clinton na bado wananchi hawaja wezeshwa kuitumia bahati hiyo.
Ni...