Baada ya matukio machafu ya wizi na uharamia wa viongozi wa awamu ya 4 chini ya CCM , wananchi wamegundia Bungeni six anawa fix wakaamua kuchukua silaha wenyewe na kuingia vitani .Wananchi...
$1.9m later, all we get is this skewed pact!
By KARL LYIMO lyimok@gmail.com
THE EAST AFRICAN
In a moment of utter frustration with the unsavoury relations between Zanzibar and the United...
Hii kali...ni kweli siku moja kabla ya ndoa gadner alilala nje ya nyumba na kimada????? Eti marlaw umewatosa masela wako baada ya kua superstaaaaaaaar sio isue babu vitu mnavyofanya kwa siri sasa...
habari zilizonifikia si muda mrefu rais wa zimbabwe MUgabe amekimbia nchi baada ya wananchi wa nchi hiyo kuingia barabarani na kuivamia ikulu.
hadi sasa nchi aliokimbilia haijajulikana
Mkuu wa Idara ya Marekani na Ulaya kwenye Wizara ya Mambo ya Nje Bi. Radhia Msuya ameteuliwa kuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Uingereza akichukua nafasi ya Balozi wa sasa ambaye atapangiwa kazi...
Posted Date::4/19/2008
Sakata ya Waziri bilionea Tanzania yazua maswali zaidi kuliko majibu
Na Mwandishi wetu
Mwananchi
SUALA la utajiri wa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, linazidi...
Any great power Country could pick a leader in any country in Africa today, send in a modest military support force to sustain him in power, and follow this up with ten jumbo jets filled with...
Posted Date::4/17/2008
Kawawa ashangaa viongozi kumiliki mabilioni ya fedha
Na Muhibu Said
Mwananchi
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Rashidi Mfaume Kawawa, ameitaka serikali kuwasaka viongozi...
Niko katika harakati za kulobby kamati fulani ya Bunge ili waweze kulidaka hili la Usalama wa Taifa na wakuu wa upepelezi n.k ili wajue wao walijua nini kuhusu wizi wa mabilioni, na walijua nini...
Na Mwandishi Maalum
SERIKALI imepandikiza chuki. Wiki iliyopita, ilitangaza kulipia mishahara ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL), ambao walishindwa kulipwa na muwekezaji aliyekodishwa...
Jihadhari Jihadhari Jihadhari Jihadhari
Jihadhari na watu hawa wa Naijeria....... wamebuni MBINU mpya ya kitapeli, na hakyanan, unaingia mtegoni kirahisi sana usipoangalia
Eti...
Mhe Rais,
Najua pressure ambayo unayo toka kwa GB na Brown hasa kuhusu suala la Zimbabwe. Wanatarajia support ya Tanzania likitolewa Azimio la Umoja wa Mataifa la kulaani Zimbabwe na matukio...
Wadau Kama Kuna Mtu Anazo Data Atupe Ila Huu Ndio Ukweli Wa Mambo Mpaka Naingia Mtambo Sasa Hivi Yaani.
Hawa Jamaa Wamegoma Wote Kabisa.
Ila Sijapata Full Sababu Za Kuwasababisha Wagome...
Kuna sababu ya kuwashirikisha wapinzani katika jumuia ya Nchi za Afrika AU ,kama vile katika mashirikisho ya Ulaya ambapo vyama wapinzani hupata nafasi ya kuweka wajumbe .
Kwa ufupi vyama vyote...
Jamani wana JF wenzangu,
Kama kuna kitu ambacho nimechoka kukisikia katika maskio yangu ni UFISADI!. Kwa kipindi kirefu sana tumekuwa tukishuhudia mambo mengi yakiibuka juu ya mikataba mibovu...
Nilisoma maoni ya wana jf walioweza kupata nafasi ya kuandika kuhusu jk kuwa ndiye aliyetatua mgogoro wa uchaguzi wa Kenya, sikuweza kusema lolote kwa wakati huo, japo nimechelewa naomba kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.