Meet New People, share pictures as well as chat and post on your friends wall.
We bring you irafiki.com
(N.B: Looking for people to translate the site to swahili)
Hawa jamaa kama kweli wana imani, ... ya Mungu wamwachie Mungu na ya Kaisari wampe Kaisari
Waliodai Yesu anakuja wafungwa miaka minne
:: Waliwatorosha watoto wa shule wakampokee Bwana
na...
Mwaka jana, katika kikao chake cha bajeti, Serikali ilitangaza kuondolewa kwa kodi zote kwenye chanzo cha nishati kijulikanacho kwa jina, Liquid Petroleum Gas (LPG). Nishati hii, kabla ya...
Surprise discovery off coast of Brazil may confound the oil and gas doom-mongers· Claims that offshore field is world's third biggest
· Shares in partner BG close up 5% despite doubts
Terry...
Sakata la Richmond na mtikisiko wake bado havijaisha Bungeni. Kuna kila dalili kuwa yaliyotokea Bungeni mwezi wa pili na kusababisha kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na kuvunjika kwa baraza la Mawaziri...
Mabadiliko ya nchi yetu yatapatikana siku vyombo vya habari vitakapoacha tabia zao za unafiki katika uhandishi na kufanya kazi yao kama inavyopaswa kuwa. Mwandishi wa habari anatakiwa awe ni mtu...
Why first-born children are brighter than their siblings
Last updated at 01:06am on 14th April 2008
The first-born is likely to be the smartest, according to research
First-born children are...
Wandugu,
Ni muda mrefu tangu kupata updates ya nini kinaendelea kuhusu Balali.
Hakuna anaejua kuhusu afya yake?????
Je, Ni lini serikali ya Tanzania itamrudisha nchi kuja kutoa maelezo...
This is a backgrounder of the struggle in Tibet and how the US has been building up Dalai Lama to pursue their ideological struggle. In the US many uninformed people had been awed by his...
...and to confirm to Tanzanians how incompetent they are
So, Butiama meeting was just a ploy to buy time
By KARL LYIMO lyimok@gmail.com
THE EAST AFRICAN
Chama cha Mapinduzis Central...
Asiyejua historia ni mtumwa! Robert Nest Marley au maarufu kama Bob Marley anasema "if you don't know your history and you will kwow where you came from" Historia ya nchi yetu imepotoshwa sana...
Katika habari ile ya daily news yenye kuelezea michango aliyotoa Kikwete na wenzake kusaidia ccm Mara, kuna quote kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amesema yafuatayo:
Taarifa hiyo...
Muda mfupi ujao nitazungumza na mmoja wa wabunge ambao majimbo yao yameathiriwa vibaya na mvua kubwa ambazo zimesababisha mafuriko makubwa. Mafuriko haya licha kuleta madhara kwa makazi ya watu...
UK is one of the countries that is emphasizing about the importance of good governance in African countries. In my opinion good governance includes fighting corruption at any level in African...
Habari za Jioni wana JF.
Nipo kisiwani unguja moja katika vile visiwa vikuu viwili vya unguja na pemba vyenye kunukia marashi ya karafuu..
Natembea nakuangalia madhari nzuri ya nji mkongwe...
hivi karibuni nimekuja kutambua kwamba kuna faida nyingi sana kwa taifa kuwa na population kubwa.
1: nimetambua kuwa watu wengi siyo zao la umasikini, bali umasikini hutokana na kushindwa...
Habari nilizozipata sasa hivi zinasema kuna ajili imetokea eneo la kitumbi wilaya ya handeni mkoani tanga , jana jioni na watu 7 wamefariki dunia hapo hapo huku wengine wakaendelea kufariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.