Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Napenda kufahamu Gavana balali na mafisadi wenzake mnampango nao gani? mpaka sasa hivi sababu tunaona wahusika hawapo na viongozi mnakaa kimya au ile ilikuwa ni mikwala tunaomba mlifanyie kazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
If we sent millitary to Comorro, and Ari Mpya of AU is to show the world that Africans are committed to peace and democracy, will AU send special forces as peacekeepers in Zimbabwe since it is a...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
...wakati wao ndiyo waliowaleta hawa "wachukuaji" Kitimtim TRL makao makuu 2008-04-05 09:38:18 Na Raymond Kaminyoge Zaidi ya abiria 100 wa Shirika la Reli Nchini (TRL) ambao walikata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi tuna akili timamu au ndio kufikiri tunaweza sana? Hivi wanaweza kuikatia maji Ikulu? Hivi serikali yetu tukutu/fu imeshindwa kupata "tu"shilingi milioni 276 mahali "fulani" wakati waliweza...
0 Reactions
96 Replies
11K Views
Kuna Baadi Ya Watu Utakuta Unamwambia Kuwa Usifanye Jambo Fulani Lakini Wanakuwa Wabishi Vibaya Sana Mfano Mzuri Ni Katka Internet, Mtu Anaweza Akakueleza Muda Wako Umeisha But Mtu Unae...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa kiwango fulani navutiwa na mapambano ya kunadi sera na mikakati ya kisiasa inayoendelea nchini Marekani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Lakini wanasiasa zetu huwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mtaji huu sasa naona mwisho wa mchezo wa Bank Statement za kununua umewadia.... UK visa defaulters to get 10-year ban GODFREY OBONYO Daily News On Saturday; Friday,April 04, 2008 @18:02...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuwaruhusu wanafunzi waliokwisha jifungua(wamekuwa akina mama kufikia hapo)kujumuika na wanafunzi ambao bado hawajafikia kuwa wazazi kujichanganya na kusoma kwa pamoja inakuwa sawa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi wenye maduka ya misosi ya kibongo kupitia Bakhressa, kuna mayai ya kienyeji? Mimi haya mayai ya Sainsbury sijui Asda yanaharibu tu ulimi hamna ladha tumbo kuvimba. Mimi nataka mayai ya...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zilizotufikia hivi punde ndege aina ya sessna imeanguka uwanja wa ndege wa mwanza muda si mrefu na kuua watu wote na hakuna aliepona,,katika ndege hiyo kulikuwapo watanzania na...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
habari ambazo nilizozipata, inahofiwa kuwa zaidi ya watanzania mia moja wamefukiwa katika machimbo ya mererani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini
0 Reactions
125 Replies
27K Views
Former Nigerian President Olusegun Obasanjo is under a wave of criticism for the conduct of his administration, which came to an end last May. But in a court in Lagos, he is accused of a very...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
BALOZI wa Uholanzi nchini, Bw. Karel van Kesteren, amewataka Watanzania kuachana na dhana kwamba watachimba utajiri kutoka ardhini kupitia sekta ya madini. Akizungumza kwenye ufunguzi wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
utakuta baadhi ya wafanya biashara za madini wanawapatia vijana wetu fedha za kujikimu na kuishia kuwapa offer za pombe badaala ya kuwasaidia ili waweze kutimiza malengo Na wengine kufanya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Nimebahatika kukutana na wanasiasa wetu kadhaa (chama tawala na upinzani) na nasikitika kubreak hii taboo ya kutosema lakini ukweli ni kuwa: -WENGI WAO NI WACHAFU -WANANUKA -HAWAVAI VIZURI...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Sitamani kuwa na Rais kama Mh JK …….Sitamani ! CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) “kimefunga ndoa” na mafisadi kwa kukataa kupokea ushauri wa kuwafukuza kutoka chama hicho. Taarifa iliyotolewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anger... LONDON, England (AP) -- Supermodel Naomi Campbell has been arrested at Heathrow Airport's Terminal 5 for allegedly spitting at a police officer, Sky News television reported Thursday...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari hii inasikitisha sana na nadhani kuna haja Bunge letu lifanye marekebisho ya sheria ya kujamihiana kwani imekuwa ni kawaida kwa akina mama kusingizia kubakwa wakati si kweli: Kwa habari za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Stephen Wasira, akizungumza na waandishi wa habari alipotoa ripoti ya uchunguzi na maamuzi ya serikali kuhusu wakazi wa eneo la Tabata Dampo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapenzi wa ulabu, wanna make beer? Kama unasehemu poa na unataka kutengeza bia zako mwenyewe kamata..... RECIPE YA NGUVU!!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom