PRESIDENT KIKWETE TO JOIN COMMISSION FOR EFFECTIVE DEVELOPMENT COOPERATION WITH AFRICA.
The President of Tanzania, Jakaya Kikwete, has accepted an invitation to participate in the Commission...
Heshima Mbele,
Jana wakati naangalia Kipindi cha straight Talk Africa katika VOA,nilipata kumsikia Mwandishi wa gazeti la Herald la Zimbabwe(obi_ ambaye alikuwa akimtetea sana Mugabe,hata kama...
Ama kweli sasa JF tunaset the agenda. Baada ya kumcriticise JK na slow response yake kuhusu JANGA LA KITAIFA amefanya kama nilivyomwambia:
1) Avae parka jaket -TIK
2) Aongozane na mkewe- 0
3)...
JK amesema amesikitishwa sana na wana CUF kujitoa katika muafaka wa kisiasa visiwani ZNZ.Hivi ni kauli ambayo President alistaili kuitoa katika hotuba yake ya jana?Mimi nauliza hivi hiyo kamati ya...
Hii ni sehemu ya makala iloandikwa katika gazeti la Tanzania Daima la Julai 2,2008. La kujiuliza ni jee mawazo ya mwandishi yanaweza kuwa kweli ukitilia maanani maamuzi ya CCM Butiama...
Katibu Mkuu wa chama upinzani (CUF), Seif Shariff Hamad, ambaye ameondoka nchini kwenda nchi za Ulaya ambako inadaiwa atakishtaki chama tawala (CM) kwa kuzorotesha muafaka wa kisiasa Zanzibar...
Number of Muslims ahead of Catholics, says Vatican
Tom Kington in Rome
The Guardian,
Monday March 31 2008
The number of Muslims has overtaken that of Roman Catholics for the first...
Wana JF, Heshima Mbele !! Nafikiri tuna la kujifunza kutoka kwa wenzetu ambapo sisi tunakanyaga pale wao walipopita.
DUBLIN, Republic of Ireland (AP) -- Irish Prime Minister Bertie...
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba mkuu wa mkoa wa Mara kachanga 20m kwenye harambee ya Ccm kukusanya fedha kwa ajili jengo la CCM mkoa wa mara. Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo...
CUF yailaani CCM
na Asha Bani na George Maziku
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kushtushwa, kusikitishwa na kukatishwa tamaa na tamko la Halmashauri Kuu ya...
Ndugu wana JF,nimesoma habari hii kutoka gazeti la Mtanzania na kuhisi kua hela zimeniishia mfukoni gafla. Najiuliza hivi uzembe serekalini utaisha lini? Bomoa bomoa hii ilikiuka mambo mengi ya...
Watanzania wenzangu,napendekeza tuachane na kuadhimisha sikukuu ya wajinga.
Mjinga ni mtu asiyejua kusoma au kuandika au vyote viwili.Namna nzuri ya kuadhimisha siku yake basi ingekuwa ni...
Wana JF, nimeona niweke hii habari hapa nikijiuliza kuwa, Je viongozi wetu wapo tayari kujiuzulu kwa shutuma kama hizi?
MEP Alexander Stubb to replace Ilkka Kanerva as Foreign Minister...
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03
MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa...
Maximo ajiuzulu kufundisha Stars
2008-04-01 09:27:45
By Mwandishi Wetu
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbrazil Marcio Maximo amejiuzulu kufundisha timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.