Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mmoja wa wabunge waliotajwa kwenye taarifa ya Kamati Teule ya Bunge anatarajiwa kujibu hoja zilizoelekezwa kwake na Kamati hiyo kwa kuleta taarifa "tofauti" ya Richmond ambayo anaamini ndiyo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wawili wapendanapo, si ajabu kugusana, Popote pale walipo, wazee hata vijana, Ije mvua na upepo, mikono watashikana, Fumbo kubwa la mguso, unapoguswa gusika!! Wengine wanashituka, pale wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SOMA HII,TAFITI NA CHUKUA HATUA (1). Tanzania ni nchi yenye rasimali na utajiri wa hali ya juu Afrrica na ulimwenguni, lakini ni masikini ya kutupwa kwa kiwango cha nafasi ya tatu kwa umasikini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni taarifa ya kifo cha mtanzania mwenzetu ambaye katupwa pembeni mwa barabara. Inaaminika kifo chake kimetokana na vifurishi vya unga ambavyo kakutwa navyo tumboni.No bodily harm was...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
HABARI ZA KUTHIBITIKA!!. Ufisadi wa Samwel Sitta Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao , basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kama wanasema vile Rostam:Mheshimiwa Pinda huyo ni kijana wangu,angalia usimuingilie katika kazi zake Pinda:Nimekusikia Mkuu,ila mambo kama ya Richmond sitayakubali tena,Ngeleja unasikia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wengi humu ndani walitokea huko; itakapoanza msitukimbie! http://www.majira.co.tz/mijadala/
0 Reactions
5 Replies
2K Views
[Tanzania: British Duo Flee Moshi After Death Threats The East African (Nairobi) 3 March 2008 Two British investors have fled Moshi in northern Tanzania after receiving persistent death...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za kawaida Posted Date::4/10/2008 Utajiri wa mafisadi kikwazo kushitakiwa * Waziri Mkuu asema uwezo wao kifedha unaiogopesha serikali *Wahusika wa Richmond kuchukuliwa hatua za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Confusion strikes US torch relay BBC News Online The torch has been taken on a surprise route through San Francisco Torch relay The only North American leg of the Olympic torch relay...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maregesi ni Jacob Zuma wa CCM? Jumaa Mgwadu UKITAJA jina la Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa uzuri au ubaya, unagusa hisia za watu wengi. Unaibua hoja hata ambazo zilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kweli haya ni maajabu hivi karibuni tuliona kama si kusikia katika vyombo vya habari kuhusu watoto toka Lindi ambao pamoja na umri wao kuwa mkubwa maumbile yao ni madogo sana, katika hali ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Time to go Mzee Bob Mugabe Adam Lusekelo Daily News; Tuesday,April 08, 2008 @15:01 WHEN he came to power back in 1980, he was my hero. When I heard that he had earned seven university...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama yaamuru azikwe Kikristu 2008-04-04 08:43:26 Na Simon Mhina Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeamuru mwili wa marehemu Paul Goliama (40), uzikwe kwa imani...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
The Hat Man who helps Africa By Hugh Levinson Africalab, BBC Radio 4 Hartmann's mission is to use science to improve the lives of Africans A remarkable research centre is...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa Tz tuna siku kadhaa za kitaifa, ambazo huwa ni mapumziko na hutumika kuadhimisha au kukumbuka jambo fulani. Ukiondoa siku za kidini kuna siku zifuatazo (ambazo zinakua mapumziko): 12/jan -...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wapemba wataka kujitenga kama Kosovo,waiomba Marekani iwasaidie * Wasema wamechoka kutengwa Na Salma Said, Pemba BAADHI ya wazee wa visiwa vya Pemba wameiomba Serikali ya Marekani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Butiama meeting should signal overhaul of CCM By KARL LYIMO lyimok@gmail.com THE EAST AFRICAN The ruling Chama cha Mapinduzi (CCM), met in Butiama late last month. Butiama is the sleepy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini Za Saizi Ndugu Wapendwa,,poleni Kwa Wote Ambao Mmepatwa Na Shurub Ya Mvua Leo Jijini Dar Es Salaam,,hakika Ni Siku Ambayo Haitasahaulika Kwa Mshangao Wa Watu,,yaliotokea,,,,leo Hii Kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UCHAGUZI Mkuu wa Zimbabwe unaelekea kwenye mkondo ule ule wa Kenya. Tume ya Uchaguzi inatoa matangazo kwa jinsi inayotia wasiwasi. Lakini dalili zinaonyesha upinzani umechukua viti vingi zaidi au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom