Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Huu ni utapeli wa hali ya juu. Wameshindwa kuthibitisha pesa zimekusanywa toka kwa kina nani na kiasi gani na wamezikusanya kwa njia ipi kama ni cash, cheque, money order n.k. zimewekwa kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dongo hili anapigwa Kikwete? Lakini kuna umuhimu wa kufahamishwa tangu aanza uVDG wake ameshaleta "wachukuaji" wangapi? wenyewe huwaita wawekezaji Serikali itathmini safari za viongozi - Kigoda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
THE AUDACITY OF FREEDOM AND THE TENACITY OF DEMOCRACY Utangulizi: Waheshimiwa, Nimetumia muda kusoma kila post na kutoa shukrani kwa michango yenu yote na pia kupata muda wa kuachilia yote...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Makala Hii toka Raia Mwema ni ndefu lakini ni changamoto kwa JF, naomba muisome wadau....Kila mtu akitimiza wajibu wake tutafika. Muungano Mtakatifu: wabunge, wapiga-filimbi, waandishi Na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
KUMBUKUMBU ZA MKUTANO WA WAZANZIBARI HUKO LONDON UTANGULIZI:Mkutano wa Wazanzibari wanaoishi nchi za Ulaya ulifanyika tarehe 22 March, 2008 katika jiji la London kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hey guys mimi naona si vizuri kumtumia Nyerere kisiasa. Ni vizuri kumuongelea kwa mazuri lakini kwenda kwenye kaburi lake na kutumia kijiji chake kuweka mipango ya kuwadanganya watanzania kuhusu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kama baadhi ya wajumbe wanataka mafisadi ndani ya CCM wafukuzwe, kitu ambacho kitaungwa mkono na Watanzania wengi, JK kama mwenyekiti wa CCM anangoja nini!? :confused: Heat at Butiama conclave...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
An African country hurries to the fore For once the optimists have been proved right- and it’s happening in that “dark, backward” continent, Africa. The ex British colony of Tanganyika and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LOS ANGELES (Reuters) - A woman who claims she was ordered by federal airport screeners to remove her nipple rings with pliers demanded an apology from the U.S. Transportation Security...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sina budi kutoa hongera kwa wana JF wote ambao wamekuwa wakichangia hoja hapa. Siku za karibuni nilisoma thread moja hapa kuhusu Mh. SU-PIKA ooh samahani, I meant SPIKA Sitta jinsi na yeye...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
There are many perceptions as to what exactly ecotourism is. Ecotourism is by definition insightful, considerate and involving travel experience to pristine natural or rich cultural environments...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kingunge: Hatuendi Butiama kuomba baraka na Salehe Mohamed Tanzania Daima~Sauti ya Watu MWANASIASA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru, amesema chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwisho mwa mwezi huu kutafanyika vikao vya NEC (CCM) kwa siku mbili kijijini Butiama ambako ndiko alikozaliwa Muasisi wa chama hicho Marehemu Mwl. Julius K. Nyerere. Baadhi ya mambo ambayo naamini...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
naitoa naona inagusa wengi munoooooooooooooooooooooooo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Nasikia wamerekodi CD yenye nyimbo tatu.. itachezwa Ijumaa asubuhi..ili wajumbe waweze kuburudika nayo huko Butiama. Na miye nimekaa mkao wa kula!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Huenda mkiangalia wenyewe mtaweza kuona cha kufanya kwenye hii logo yenu mpya... Ni mawazo yangu kama mzalendo kuwa logo hii na hata ile ya zamani ni pana sana kama kuna uwezekano fanyeni...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hebu ninyi watanzania nani kawaloga? Mbona mnaturudisha nginingi? nani kawambia kuwa nyekundu ni nyeupe? Mungu tusaidie ili kizazi kijacho kisije kikatuhukumu na kutuona tulikuwa matahira enzi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri wa elimu wa singapore amehimiza kuanznia muhula uja kuwepo na somo la kutongoza katika elimu ya awali,, hali hii imetokana na kuwepo mikakati ya kuongezeka nchini humo habari zaidi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wajumbe, Kwa takribani wiki mbili nimekuwa nikipitia viatbu vya sheria kuona uhallai wa kubadilishwa kwa kesi ya braza ditto kutoka kuua mpaka kuua bila kukusudia,Je ni sheria gani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom