Quote
Man can only liberate himself or develop himself. He cannot be liberated or developed by another. For Man makes himself. It is his ability to act deliberately, for a self-determined...
Wanandugu habari nyepepesi nyepesi zilizotufikia hapa
ni kwamabna mzee bado anaomba ushauri jamaa(DK MWAKYEMBE)) aingie kwenye list
au la..na hili limetokana na mh waziri mkuu mpya kumshauri...
Tunaisubiri kwa hamu Ripoti ya BoT - Anne Kilango
2008-02-11 10:16:54
Na Joseph Mwendapole
Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Bi. Anne Kilango, amesema Wabunge wanaisubiri kwa hamu kubwa...
Najiuliza kumetokea nini hata JF kujikuta haina chochote cha kuripoti kabla ya muungwana hajashughulika na vinasa sauti vya Tz?
Napenda kuamini ni kukomaa kwa watu wa jk sasa
Napenda...
Naomba nielimishwe:
Kwenye posts za JF, juu kulia kuna kichumba kina maelezo, kati ya hayo kuna haya yananichanganya naomba nielimishwe:
Rep Power:ni nini?
pattern ya kijani iliyopo chini ya...
Mrema alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu Waziri Mkuu. Ingawa cheo hicho hakipo Kikatiba lakini Rais anaweza kukiweka kwani ana mamlaka ya kuunda Ofisi kwa Agizo la Kirais (Executive...
Just a thought,
Maybe there is some truth to it.
Just think!!!
Willie Lynch letter: The Making of a Slave
By FinalCall.com News
Updated Aug 22, 2005, 01:05 am Email this article...
Lowassa katoa Buriani iliyoPinda bila Daftari kwa Ghasia kama kalewa Pombe vile.
Whats in a name? Next cabinet the Prezzo better be careful, lol!
IFUATAYO ni hotuba fupi aliyoitoa Waziri Mkuu...
It seems it all started with one random email (who many thought was UDAKU au CHUKI BONAFSI) Mara zitto anasimamishwa kazi??,then slaa comes up, now the PM has resigned?? Je did CCM panic?I would...
Mjengwa kauliza swali tamu sana kule kwenye blogu yake http://mjengwa.blogspot.com/
Amesema hivi:
Wachukuliwe kwa gari wote wawili. Washushwe Magomeni Mwembechai kisha waambiwe...
Nimekaa nikitafakari maneno aliyotoa Seleli kujibu hoja za Lowassa kulaumu Kamati na Riposti ya Mwakyembe. Kitendo cha Seleli kusimama kidete na kumjibu aliyekuwa Waziri Mkuu kwa ufundi, ukakamavu...
Wanandugu tumefurahi sana kusikia kujiuzulu kwa waheshimiwa wa ufisadi na kuwapongeza wale ambao bado wanasubiri kutangaza kujiuzulu...
Baada ya yote bado kichwa changu kinaniuma kuhusu pesa...
Nina mizigo yangu nataka kutuma nyumbani kwa kutumia kontena. Je kuna mbongo/wabongo wowote ambao wana mizigo ya kutuma? Kama wapo, basi naomba tuwasiliane kuona kama tunaweza kubanana kwenye...
Tunatarajia kuwa na onesho baadaye leo Jumamosi kupitia BONGO RADIO na ninawakaribisha wale wote watakaopenda kushirika katika mjadala na mazungumzo yatakayoanza saa nane mchana EST (-5GMT)...
WAZIRI Mkuu mpya, Mizengo Pinda amesema suala la ukubwa wa Baraza la Mawaziri litakuwa moja ya ajenda za mwanzo kabisa kwake, pale atakapokutana na Rais Jakaya Kikwete kujadili baraza jipya...
1. Usiwe muongo kama Karamagi
2.Usiwe mwizi kama Balali
3. Usiwe mbishi kama Zitto
4. Usiwe makelele kama Makamba
5.Usiwe mbabe kama Sitta
6. Usihukumu kama Mudhihiri
7...
Ndugu wanabodi,
Tokana na juhudi zetu za kumwaga ama kuanika uchafu unaofanywa na viongozi wetu katika serikali ya Tanzania, tumewezesha kulazimisha Baraza la mawaziri kuvunjwa.
Lakini kiini...
Call it Gombesugu or Kumkoma Nyani Kiladi!
In wake of political uncertainty of Tanzania Government future due to inefficiency, incompetence and severe allegations of corruption and pressure from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.