Wazawa wanalea Ufisadi
Awadhi Kimito Februari 6, 2008
Raia Mwema
JOSEPH Mihangwa ameeleza jinsi gani ufisadi unavyolelewa na dhana ya kumilikishwa uchumi. Ametoa mifano mingi ambayo...
Habari zilizonifikia kutoka Dodoma zinasema kwamba JK atasimamia kikao cha nidhamu cha CCM.... inaonekana kunakauwezekano EL ana kina karamagi wakalamba dume. Tunasubiri maana everything is still...
Sasa embu niambieni wana JF, HOSEA na MWANYIKA ambao report imepropose wawajibishwe... ni part of the 3 man team ya kuchunguza BOT and kuprosecute mafisadi wengine. Sasa itawezekana kweli kistaili...
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kiwango cha kutoa kabonidaosadi
(CO2) kwa magari katika tanzania ni kiasi gani? kwa mfano nchi nyingi za ulaya ni 170g/km.
nimeshindwa kuvumilia imebidi niulize maana sijui kuna nn kwa baadhi ya wanachama wenzetu wana rangi ya kijani.
jee ni njia mpya ya kuroa credit au kuna nnnnn?
au ni ombi maalum kwa wanachama...
Bad Domain Names
All of these are companies that didn't spend quite enough time considering how their online names might appear - and be misread...
1. Who Represents is where you can find...
Taarifa rasmi zilizotolewa na waziri wa utalii na maliasili dakika mbili zilizopita wakati anatoa majumuisho ya hoja za utalii ni kuwa Rais Bush atatembelea Ngorongoro crater wakati wa ziara yake...
Usiwe mwongo kama KARAMAGI
Mwizi kama BALALI
Mbishi kama ZITTO
Makelele mengi yasiyo na maana kama MAKAMBA
Mbabe kama SITTA
Usihukumu kama MUDHIHIRI
Usiue kama DITOPILE...
Ama kweli hawa waingereza ni ndumila kuwili
Revealed: British plan to build training camp for Taliban fighters in Afghanistan
By Jerome Starkey in Kabul
Monday, 4 February 2008
The...
Fetal Soup Served in Chinese Restaurants
The Seven Sorrows of China gives heart-wrenching accounts of the brutality of China's one-child policy
By Thaddeus M. Baklinski
February 1, 2008...
Jimmy Massey in Iraq after the US invasion took placeThe Testimony of a US ex-marine, who went to fight in Iraq
Jimmy Massey:
Jimmy Massey in Iraq after the US invasion took placeThe...
Hii miswada ya Electricity Act, 2007 na Petroleum Supply Act, 2007 ambayo Waziri Karamagi alikuwa aisome kwenye kamati ya Bunge inaweza kupatikana ili nasi tujue kilichomo. JF inatembelewa na...
Napenda kuuliza juu ya sababu zilizopelekea kufa kwa wingi kwa Dolphins katika fukwe za Visiwa vya Zanzibar mwaka 2006. Vifo hivyo viliacha maswali mengi pasipo majibu. Aidha SMZ, ikishirikiana na...
katika pita pita yangu katika blog mbali za watanzania nimekutana na barua hii ya mdau mmojawapo aliyeko india akimpongeza raisi wake..
sasa ninachojiulizaga mie ni watu huwa vipofu wa kufikiri...
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia kwa makini sana juhudi za Kikwete za kutengeza mabilionea mia moja tu (100) wa kitanzania katika kipindi chake cha uongozi.
Kwa muda haikuniingia akilini kuwa...
9/11: The biggest lie in history!
http://www.youtube.com/watch?v=7E3oIbO0AWE This video was sent to me by Mike Di; may Allah Almighty bless him by leading him to Islam. Ameen. Very powerful...
Nimepatwa na mshtuko mkubwa sana pale niliposoma leo kuwa eti Andrew Chenge amechaguliwa na kamati kuu ya CCM kuwa mjumbe wa kamati ya maadili.
Nimejiuliza swali hili ,hivi kuwa mjumbe wa...
Naomba kufahamishwa jambo moja, hivi hizi threads ambazo zimekuwa Moved, zinapelekwa wapi? Au ndo zimefutwa kisanii, maana kila tukizitafuta hatuzioni. Naomba mtuelekeze zimewekwa wapi ili tupate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.