Wakazi wa geita wanajiandaa kumuondoa muwekezaji wa mgodi wa Geita katika maeneo yao, kama wao walivo ondolewa..
Someni hapa
http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/2/1/habari7.php
My take
Je...
Kwa namna hii, siwezi kushangaa!
Daily News
A TOTAL of 4,403,305,623.90/- (Four billions) in cash and stores was stolen from the government between 2002 and 2006, the National Assembly was...
Waandishi wetu mpo wapi? habari kama hizi hatuoni kwenye magazeti yetu?
Shrew's who: New mammal enters the book of life
Thu Jan 31, 1:47 AM ET
In a rare discovery of a new species of...
Katika kuokoa jahazi na kujaribu kuweka mwelekeo... ili tuweze kufocus..
Hapana; Resume ya Tyson ni ndefu zaidi ya hapo ingawa ni ile ya old guard. Ameshashika madaraka mbalimbali serikalini...
Ndugu watanzania, mimi kama muathirika wa hii hali ngumu ya maisha bora kwa kila Mtanzania naona bora JESHI LA WANACHI TANZANIA wachukue nchi hata kwa Miaka mitatu (3) tu, na baada ya hapo nadhani...
Ufisadi BoT: Wako wapi kina Ngozi Okonjo wetu?
Johnson Mbwambo Januari 30, 2008
Raia Mwema
WIKI iliyopita nilijaribu kueleza jinsi baadhi ya Wahindi wanavyotugeuza (Watanzania wazawa)...
Nimesoma pale kwenye Mwananchi la leo
kwa kweli inashangaza pale ambapo Mhe Waziri Magufuli anapojitahidi kupambana na ku-sevu uwanja wetu.... Hivi ni kichaa gani anasema hoteli ni muhimu kuliko...
GUYS WHAT IS YO ANALYSIS?.......esp tax/budget experts and those going to World Cup 2010...
SA call to legalise prostitution
Tuesday, 29 January 2008, 16:59 GMT
South African MP George...
Mara nyingi najiskia kukereka ninapokutana na waswahili wenzangu ughaibuni alafu wanajidai wanaongea kiswahili kwa taabu, na most of the time kwenye mazungumzo yetu wanakuwa wakitumia kiingereza...
Hausigeli amnyonga mtoto wa bosi wake
2008-01-24 10:08:25
Na Joseph Mwendapole
Msichana anayefanya kazi za ndani maeneo ya Manzese, Dar es Salaam, Tabu Isaya (16), anashikiliwa na...
Ukisoma taarifa hii bila shaka utagundua kwamba kuna utata wa kifo cha mwandishi na mtangazaji wa ITV John Lubungo. RIP John
http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/1/29/habari7.php
Bw.Mkapa,Rais Mstaafu wa awamu ya pili Nchini Tanzania ambaye pia ni miongoni mwa viongozi Wastaafu mashuhuri katika jopo la wapatanishi wa mgogoro wa Kisiasa unaoendelea jirani nchini...
Wakuu nimesoma habari hii ambayo inanifanya nishindwe kuelewa lipi ndio lipi na hasa inafaa kukaa wapi katika forum hii.Lakini hata hivyo nadhani serikali yetu inapaswa kubanwa zaidi kutueleza...
WanaJambo wenzangu naomba niwasalimu.... Nimeingia kwenye www.issamichuzi.blogspot.com na kukuta habari kwamba Felix Makene/Felix Chambi amefariki dunia. Kwa kumbukumbu ya harakaharaka huyu ni...
Wana JF mimi natatizwa na suala zima la uteuzi wa makao makuu ya wilaya. Kuna wilaya moja mpya ya Rorya ambayo iko mkoa wa Mara tatizo ni kwamba kuna mabishano na upinzani mkubwa juu ya eneo lipi...
Kila Jumamosi wananchi wa Sierra Leona wanatumia siku hiyo kufanya usafi wa nchi yao na kuirudishia sura nzuri hasa baada ya uchafu uliokithiri kufuati vita vya wenyewe kwa wenyewe. Siku hiyo...
wakuu hii imekaaje? kwanini serikali isjipange vizuri? Bado tunaupungufu wa askari na upungufu wa waalimu sasa asikari ndio wamekuwa waalimu. Du hii sijui wazee nyie mnaiona je.
Askari Polisi...
..unamtaka Ballali arudishwe au hutaki arudishwe ili madhambi ya ufisadi yasijulikane!?
Posted Date::1/28/2008
Marekani yasema serikali ikimtaka Dk Ballali atarajeshwa Tanzania
*Yasema pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.