Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wana-JF! Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale...
20 Reactions
39 Replies
4K Views
MHADHARA (87) 👁️Ewe mwanaume; Kama huna lengo la kuzaa usimpe mimba mwanamke, kama utampa mimba mtunze/tunzaneni. Ikiwa utampa mimba mwanamke na kumtelekeza utamfanya ateseke, pia utamtenganisha...
1 Reactions
3 Replies
163 Views
Habarini wana-jamiiforum! Hivi umeshawahi kujutia kumsaidia mtu,awe ndugu,rafiki au jamaa? Binafsi nakumbuka tangu shule ya msingi nilikua na mshkaji alimizidi miaka ya kutosha tu so ni kama...
16 Reactions
89 Replies
8K Views
Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
161 Views
Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi? TBC ndo napata peke yake
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
2 Reactions
14 Replies
457 Views
Wadau habari zenu nimerudi tena, ndugu yenu nimepata zari wakubwa. Nimepata chance ya kufundishwa production ya mziki na producer mkubwa sana tu hapa bongo kama nilivowaambiaga nna tatizo la...
1 Reactions
1 Replies
90 Views
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto...
18 Reactions
147 Replies
3K Views
Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi...
6 Reactions
59 Replies
1K Views
Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza...
2 Reactions
3 Replies
200 Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Kama kuna jambo ambalo lilikuwa likiniwazisha ni namna ya kumjua Nabii wa uongo na wa kweli. Nilisikia habari hizi kutoka katika mahubiri kanisani...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
21 Februari 2025, Zanzibar – Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi...
8 Reactions
13 Replies
507 Views
USHAURI KWA SERIKALI: WAJIBU WA KIKATIBA KATIKA KUTOA HUDUMA ZA AFYA NA KUSAIDIA NHIF KWA RUZUKU 1. UTANGULIZI Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kikatiba kuhakikisha kwamba kila raia anapata...
1 Reactions
2 Replies
117 Views
Simply Redd - Holding back the years https://youtu.be/yG07WSu7Q9w?si=3xbq2WPshiiR7Yhb
1 Reactions
4 Replies
77 Views
CHUKUA CHAKULA KITOKACHO SIRINI Makala hii imeandaliwa na Creezle Farey ☎📞+255789407381 NINI kinafanyika na kutokea unapokwenda kwa mganga na kuchanjwa chale inayotoa damu yako ? Iko hivi...
2 Reactions
3 Replies
207 Views
Ndugu zangu, hali ya kukosa kazi si jambo geni, na wengi wetu tumewahi kupitia ama tunapitia kipindi hiki kigumu. Ukosefu wa ajira unaweza kuleta msongo wa mawazo, kushusha hadhi yako kwa jamii...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Habari ndugu zangu,naomba tupeane connection hapa za fundi/programmer mzuri wa volvo v40 T4 ya 1600cc petrol 2014 model Anatakiwa fundi mzuri sio wa kubahatisha ,yaani anayeijua hiyo gari vizuri.
4 Reactions
3 Replies
146 Views
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Back
Top Bottom