Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mwananchi Online limekuwa la hovyo, kila habari tena habari za kawaida tu eti PRIME, kwanza nini maana ya PRIME? Kama biashara imewashinda bora muache tu vinginevyo mnajidhalilisha tu.
1 Reactions
5 Replies
417 Views
Kwa mujibu wa Kifungu cha 21 (1) cha Kanuni Za Mawasiliano ya Kielektroniki Na Posta Kuhusu Usajili wa Laini Za Simu mwaka 2025 ni kosa mtu kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa kitambulisho cha...
0 Reactions
2 Replies
260 Views
Pamoja na umuhimu wa kuwa na hotel nzuri pamoja na MAKAMBI ya kulalza wageni ndani ya hifadhi ya Serengeti, sehemu hii inayoitwa Seronera katikati ya Serengeti imetosha. Sasahivi ukienda...
3 Reactions
6 Replies
345 Views
Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana. Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji...
6 Reactions
49 Replies
881 Views
Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti...
1 Reactions
4 Replies
163 Views
Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi zake za TemboCard Visa gari...
3 Reactions
18 Replies
414 Views
Chuo Cha Saut-Mwanza sisi wanafunzi tuliokwisha maliza masomo yetu kwa takriban miaka Sasa miwili tumekuwa tukiwadai Fedha ambazo tulizidisha, na baadae mkatupa maelekezo kuwa tuandike barua za...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ukisoma maandiko matakatifu kwenye kitabu cha kutoka 20:13 utaona mwenyezi Mungu amekataza bana Israel kuua Napenda kujua mwanadamu anayeua mwanadamu mwenzake atahesabiwa...
1 Reactions
5 Replies
118 Views
Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana. Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha...
2 Reactions
2 Replies
99 Views
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na...
0 Reactions
1 Replies
89 Views
Mgogoro Longido Milioni 131 zapotea . Zaidi ya Vijana 600 kutoka katika kijiji cha cha Ngereyeni kata ya Tingatinga wilayani Longido wamevyaamia makao makuu ya ofisi na kuharibu mali ya jumuiya...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
ALTRZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ...
1 Reactions
1 Replies
110 Views
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri...
48 Reactions
1K Replies
52K Views
Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣 TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo. Mwijaku baada ya kupata taarifa...
5 Reactions
10 Replies
603 Views
Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria...
7 Reactions
61 Replies
7K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na...
1 Reactions
5 Replies
113 Views
Ukisoma history unakuta maendeleo makubwa ya nchi yetu yaliletwa na Wajerumani wakiwa na nia ya kudumu milele sema tu upumbavu wa Hittler ndo ukasababisha nchi yetu iwe mikononi mwa Uingereza...
0 Reactions
3 Replies
63 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Utalii aone uwezekano wa kupitia Kanuni za Fidia kwa wanaothiriwa na Wanyama kuvamia mashamba, wakati huohuo amesisitiza Serikali inaendelea kutafuta...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Back
Top Bottom