✡Nukuu hii inazungumzia uhusiano kati ya huruma na upendo wa kweli. Huruma ni hisia ya ndani inayotufanya kutaka kuwasaidia wengine wanapokuwa na maumivu au matatizo. Kupitia matendo ya huruma...
Zab 92:12-13 SUV
[12] Mwenye haki atasitawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni. [13] Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
Inawezakana umejenga...
Wadau wa JF, Salaam!
Hii dunia ni ya ajabu sana. Kuna jamaa anakuambia kuna mti fulani, ukiusogelea na kuuangalia tu kwa dakika chache, unanyesha noti. Wengine wanakuambia kama unataka utajiri...
Hawa jamaa wa lbl wanasema tayari wameshaweka sawa kati yao na BoT, je ni kweli? Tutaamini vipi? Na kwanini wanasema tulipie tena 50% ya daraja letu ili tuweze kufanya activation? Ila mm sina...
Ni January inakaribia ndyo nakumbuka kuna kitu kinaitwa efd machine na kutoa risiti kwakweli kwangu ni ngumu,syo makusudi bali ni kusahau tu.
Sikumbuki huu mwaka unaenda kuisha nadhani nimeitumia...
1. Maana ya "Hakuna Kijiko" (There is No Spoon)
Katika Matrix, Spoon Boy anamwambia Neo:
"Usijaribu kupinda kijiko, hilo haliwezekani. Badala yake, jaribu kutambua ukweli... hakuna kijiko. Kisha...
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on...
Licha ya kuwa ni mpinzani mkubwa wa serikali ya Uganda, Kiongozi mkubwa wa chama cha upinzani nchini Uganda na adui mkubwa wa Yoweri Museveni, Mpaka wanafikia hatua ya kuumizana,
Uliwahi kujua...
Ni vingi lakini hivi ni baadhi,
-Mmasai albino
-Mwanajeshi albino
-Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta)
Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito...
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia...
Wanajamvi nimekuwa napita pita kwenye mitandao na mara nyingi unakutana na dawa za kurefusha uume, na kuna wakati uwa unaona watu wametoa ushuhuda kwamba ni kweli uume umerefuka.
Kati ya vitu...
Tarehe 4/02/2025 Gavana wa Kivu Kusini Kongo alitoa tahadhari kuwa kuna uwezekano wa Kivu kusini kuzalisha wakimbizi Tanzania endapo makundi ya waasi wa Maimai na Wazalendo hawataingia vitani...
Wakuu habari zenu? Kuna hoja apo juu kwa upande wangu katika kuzunguka huku na huko nimekuja kupata majibu kwamba Arusha na Mwanza ni miji ambayo ukikaza kujitafuta unajipata.
Nilikua na...
TUWE NA TAHADHARI KATIKA HILI ������
Bwana Juma ni Dereva Taxi maeneo ya Mwananyamala kwa kopa siku moja alifuatwa na jamaa mmoja ampeleke Sinza kwenye...
Habari wakuu
Sijsikia viongozi wa upinzani wakiliongelea hili kwa nguvu,wala fisiemu
Marupurupu kuwa makubwa yasio akisi hali ya wanaotuwakilisha ni chanzo cha kuwa na vibaraka sio tuu wa kuacha...
Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.