Katika jamii yetu, imezoeleka kwamba kupata shahada (degree) na ajira rasmi ni hatua kubwa ya mafanikio. Hata hivyo, ukweli wa maisha unaonesha kwamba mafanikio ya kifedha hayategemei moja kwa...
Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au...
Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake.
Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women...
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini...
kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu.
✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu...
Wana Jamvi,
Nipo Moshi baada ya kitambo kirefu cha kuhudhuria hili ambalo sasa tuliite tamasha la mbio za marathon la Kili Marathon.
Kwa hizi siku mbili za tamasha kuelekea kilele chake siku ya...
Hili limeniumiza sana
Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite.
Wageni tunaowapa tenda...
1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu.
2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo).
3...
Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.
Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Katika kufunga Kuna faida zake
Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili...
Wadau wa Jamiiforums, Salaam!
Katika dunia ya biashara, si lazima uwe mmiliki wa biashara kubwa ili upige hela ndefu. Ukiwa na akili ya mtaani (street smartness), unaweza kutumia fursa zilizopo...
Hii ni hatari kwa usalama endapo Bomba hili litapasuka Na ni uhujumu uchumi kama Kuna wizi wa maji. Kuna mtu hapa Kibamba Hospitali, ni mfugaji wa Samaki amefungia Bomba lenu kubwa ndani ya ukuta...
Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe.
Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai...
Biblia inatoa maelezo mbalimbali kuhusu maisha baada ya kifo, na mafundisho yake yanatofautiana kulingana na mafungu ya maandiko. Hapa chini ni baadhi ya maelezo ya maisha baada ya kifo kulingana...
Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa...
Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati.
Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua.
Visingizio hivi...
Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake
Familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.