Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...
Yaani Mimi Si comedian, nimealikwa kuburudishwa na wachekeshaji Ili nicheke kuondoa tensions mbalimbali za wanaonipinga kazini,
Sasa Badala ya Mimi kuwapa zawadi na tuzo wachekeshaji...
Miaka mitatu iliyopita majira ya usiku mida ya saa tatu baada ya kutoka chuoni nimepoa katika kibanda kimoja cha vinywaji baridi nikipiga stori mbili tatu na Mwanangu Tambwe.
Ghafla anatokea...
.
Ukiona mwanamme anamfungulia mlango wa gari mke wake..
Basi Jua huenda gari ni jipya ama mlango ni mbovu..
Sikuhizi mke hampigii simu mume wake akiwa kazini..
Labda awe anaulizia ile condom...
Uki stream DSTV HUWA HAINA TABIA YA KUSTUCK unakuta unatumia 4G speed ambayo una stream either kwa App au kwenye website kwa DSTV unachagua Highest Resolution na hai stuck.
But Azam Max au...
1. Maisha ya Waislamu Baada ya Kufa
Kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi, Waislamu waumini wenye matendo mema wanapokufa hupata neema katika hatua zifuatazo:
a) Kaburi na Barzakh
Waislamu waumini...
Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo...
Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani.
Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana...
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua...
Sababu kuu zinazofanya mataifa mengi ya Afrika kuwa na hofu au kukosa ari ya kubadilisha maarifa na elimu zao katika lugha za asili ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kitamaduni, kiuchumi...
𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗶𝘁𝘂𝗻𝗴𝗶 𝘆𝗮 𝗚𝗲𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗶𝗸𝗶𝗮
Sehemu yoyote unayoishi ndo sehemu pa kwanza panapaswa kuwa Salama zaidi kuliko mahali pengine popote, ndo maana ukipita maeneo mbalimbali utakutana na...
Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius, Tahiti NUI Air na Fiji Airlines (Mauritius, Tahiti na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar...
CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi...
Aura ni nishati au mwanga wa kipekee unaozunguka mtu, mnyama, au kitu, ambao unadhaniwa kuonyesha hali ya kihisia, kiroho, au afya ya mtu huyo. Katika imani za kiroho na metaphysics, aura...
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya...
kwa sasa online radio inasikizwa zaidi kuliko vituo vya fm,hii inatoa fursa kubwa hasa kwa vijana kufikia maono yao ya kumiliki media.
kwaanza kabsa unafichua mitazamo ambayo radio kubwa...
Kwenye maisha kuna vipindi vigumu tunapitia kama wanadamu mpaka unakaribia kukata tamaa kama sio kukata tamaa kabisa
Ila ukifikiria familia yako,Hali yako ya maisha,manyanyaso na fedhea...
Habari za jioni wakuu. Nakuja kwenu muda huu nina shida sana na shilingi elfu ishirini na Tano.
Naomba yeyote anayeweza kunipatia kiasi hicho kama mkopo wa wiki moja.
Asanteni🙏
Zipo aina nyingi za misalaba ni somo jingine la kuchambua aina mbalimbali za misalaba Leo tuuchambue aina hii ya msalaba inaitwa ANKH.
Huu si msalaba wa kawaida, bali ni Ankh, ishara ya kale ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.