Chawa wa mama mkae mbali na huu uzi.
Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza...
Karibia asilimia 90% ya wahitimu wa chuo kikuu Cha Kairuki bado hawajapatiwa nakala za matokeo(result transcripts) yao Hadi hii Leo.
Tunalalamika kwasababu tunakosa fursa za ajira zinatotangazwa...
KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta...
UMOJA WA ULAYA
Ujumbe wa Wabunge wa Ulaya Wafanya Ziara Nchini Tanzania kwa Ajili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi
Dar es Salaam, 23 Februari 2025 – Wabunge saba wa Bunge la Ulaya (MEPs)...
Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan...
1. Binafsi sijamsikia, ila nimeona clip ya mdada yule anayepinga mapunga, anasema hivyo.
2. kama ni kweli, ni muislam gani au mkristo gani, anasapoti singeli?
3. tumeshaamua kukabidhi hii nchi...
Wakuu nisaidie mara kwa mara nimekuwa nikiota NDOTO za kuwa nipo shule au wakati mwingne nafanya mtihani na kuishia njian ilihali nimemaliza tokea mwaka jana.
Kuanzia juzi jana na Leo nimeota...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini.
Hayo ameyasema leo...
Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya...
Wakati Serikali ikiendelea kuboresha miundo mbinu ya sekta ya elimu, uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe iliyopo mkoani Songwe, katika kuunga mkono jitihada hizo umetoa zawadi mbalimbali...
UMEME NA USTAWI WA KISIWA CHA RUKUBA CHA MUSOMA VIJIJINI
1. Kituo cha Afya cha Kisiwa cha Rukuba kimefungiwa umemejua (solar energy) wa thamani ya Tsh 345,600,000 (Tsh 345.6m)
2. Sehemu nyingine...
Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa ndoa za wake wengi, zote ziko Afrika na ni nchi maskini sana.
Burkina Faso: 36%
Mali: 34%
Gambia: 30%
Niger: 29%
Nigeria: 28%
Nchi zenye viwango vya juu vya...
Iombee sana Tanganyika.
Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu".
Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache.
Leo hii...
Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni:
1...
Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.