Kuna bwana mdogo mtoto wa jirani yangu tulikuwa naye hapa Dom alimaliza chuo akakosa ajira ikabidi aje tupige naye mishe za kuuza majeneza angalau apate japo pesa ya kula na tumekuwa naye hapa for...
Wakuu,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, ameagiza viongozi wa Non Employed Teachers Organisation (NETO) kufika ofisini...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyoko Kinondoni, imeshindwa kuanza usikilizwaji wa kesi ya kumjeruhi na kutishia kwa silaha ya moto (bastola), katika klabu ya usiku (Night Club) 1245, Masaki...
Habari wanajamvi,
Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna...
Katika Agano la Kale, hakuna ushahidi unaoonyesha kwamba Jumapili ilikuwa siku ya ibada kwa waumini. Badala yake, Agano la Kale linaweka msisitizo juu ya Sabato, ambayo ni siku ya saba ya juma...
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na...
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili...
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha...
Niambie lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Tunadanganyana tu awamu zote zilizopita kulikuwa na mjuaji,kuwekwa vizuizini na mauaji tunadanganyana tu ila kwasasa kwasababu vyombo vya habari ni...
Mwenye nguvu amkaa! mwenye weledi changamka wewe!... shida nini? .
Tunataka nchi isonge mbele, tunataka tufanane na mataifa makubwa ya Ulaya , tuwe na miundombinu ya kisasa kama viwanja bora vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.