Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day
📅 Tarehe: 22 Februari 2025
📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima
Mwenyekiti wa Chama...
Baada ya mtoto aliyekuwa anatoka shuleni kutumbukia mtoni wakati akivuka daraja, wananchi wa kitongoji cha Kilovoko kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe wameamua kufanya matengenezo ya...
Baada ya mvua kuisha, mwavuli unakuwa mzigo kwa kila mtu. Ndivyo uaminifu unavyokwisha pale faida zinapoisha. Ukweli mchungu? Watu wengi maishani mwako wapo hapo kwa sababu wanapata kitu kutoka...
kiwa ni siku nne zimepita mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha kuagiza kuondolewa kwa Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoa wa Tabora, Mayala Mburi kwa tuhuma za...
MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana...
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Kwa heshima,
Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Makao Makuu,
Dar es Salaam.
Mpendwa Kiongozi,
Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu...
Assalama leko.
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo...
Ukisoma biblia katika kitabu cha Mwanzo 32 kuanzia mstari wa 22 mpaka mstari wa 32
Utaona mistari ikielezea jinsi ambavyo Yakobo Alipambana na Mungu
22 Usiku huo, Yakobo akaamka, akawachukua...
Wakuu!
Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu...
Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo...
Habari yenu wanaJF
Poleni na Majukumu ya kila siku, Leo nimekuja kusimulia mawili matatu nayopitia katika harakati zangu nishare nanyi ndugu zangu.
Wanajf mimi Ni muhitimu wa BSc...
Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha...
Huku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani...
Kwanza nikili kuwa Kila mtu ana Tunda/chakula chake anachokipenda au anatamani ale Kila siku.
Ni vyema Kila mtu ataje ikiwezekana kwa picha Aina ya chakula/Tunda hilo
Halafu tutakuambia Lina...
Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka;
upweke wa kusimama katika chumba chenye watu wengi, ukizungukwa na watu wasiokuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.