Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Bob Marley Museum ni kivutio cha watalii huko Kingston, Jamaica, kinachotolewa kwa mwanamuziki wa reggae Bob Marley. Jumba la makumbusho liko 56 Hope Road, Kingston, na ni mahali pa makazi ya Bob...
14 Reactions
52 Replies
1K Views
Sekretarieti ya ajira mmekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana wasio na connection kupata ajira. Niukweli usio pingika Sekretariet ya Ajira mko fair sana katika kutafuta watumishi wa Umma, hakuna...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Baada ya PayPal kufungiwa kutumika Tanzania kumekuwa na changamoto kubwa ya kupokea pesa za kimataifa kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukizoea kupokea pesa kwa PayPal. Lakini kuna Online money...
0 Reactions
4 Replies
584 Views
Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya...
2 Reactions
17 Replies
439 Views
Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
eti wakuu Kunani hapa? Mbona bado hizi meseji za ajabuajabu zinaendelea kutumwa licha ya mabiti yanayopigwa kila mara na hawa jamaa wa TCRA? Kwanini hawafungiwi hawa watu?
4 Reactions
32 Replies
588 Views
Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya...
2 Reactions
14 Replies
250 Views
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari...
26 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la...
1 Reactions
17 Replies
624 Views
Unaenda kwenye Bureau unakuta mwenzio anauziwa dollar vizuri ila ikifika zamu yako unaambiwa stock imeisha inabidi uwe humble tu maana hii Tanzania Kila kitu ukichukulia personal basi options ni...
2 Reactions
4 Replies
126 Views
Zaidi ya shilingi bilioni 1.1 zimetolewa kwa vikundi 92 vya wanawake,Vijana na walemavu katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe ili zikawasaidie kuendesha miradi mbalimbali Fedha ambazo hutolewa...
0 Reactions
5 Replies
125 Views
Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
19 Reactions
70 Replies
1K Views
Habari za mda huu wanajamvi, Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam. Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii...
14 Reactions
75 Replies
3K Views
Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k) fuaustina pamoja nami MAGANDA YA MANANASI YANATIBU 🌿Homa ya matumbo 🌿Glaukoma 🌿Arthritis, maumivu ya viungo (Joint...
8 Reactions
18 Replies
512 Views
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda...
18 Reactions
78 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo...
29 Reactions
100 Replies
1K Views
Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu . Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Back
Top Bottom