Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Saudi Arabia ukipotea Jangwani unapatikana kirahisi Fikiria uko kwenye jangwa unatangatanga kwenye mchanga mkubwa huko Uarabuni , ukiwa umechoka, njaa Kali na kiu kubwa kisha ghafla Mwanga...
2 Reactions
11 Replies
366 Views
Kampuni za ndege huenda hivi karibuni zikaanza kuwalipisha kiwango kikubwa cha pesa cha bei ya tiketi abiria wanene wenye uzito mkubwa ukilinganisha na ile watakayolipa Watu wenye uzito mdogo hii...
1 Reactions
11 Replies
219 Views
Habari wanajamii, Mimi ni mkazi wa Dodoma tangu mwaka 1998, na kwa miaka yote hii, nimeshuhudia migogoro mingi ya ardhi, ambayo mara nyingi inachochewa na viongozi tuliowapa dhamana. Imekuwa...
1 Reactions
0 Replies
101 Views
WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Wadau,,ninataka million 1 cash chap ,,so ninaomba kujua ni platformgani naweza kukopa online hiyo pesa na nikalipa interest isiyozid aslimia 10 kwa mwezi to miezi 3? Asante
2 Reactions
3 Replies
88 Views
Wazee wivu wa hivi kwa dada zenu mnatoa wapi? ===== Jeshi la Polisi limemkamata Festo Francis Makambula (34) Mkulima na Mkazi wa Kijiji cha Mululu Wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro kwa...
3 Reactions
49 Replies
1K Views
BARUA YA 53 KWA ULIMWENGU Maisha kutokuwa na hakika na mabadiliko havipingani, kwakua vyote vipo ili kukamilisha jambo fulani ndani ya Maisha ya kiumbe hai, katika dhana ya kuwepo katika...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Mabando ya mitandao ya Voda Tigo Airtel Halotel Kama una hizi line weka bei nikucheki
2 Reactions
2 Replies
105 Views
Kila kukicha tunazidi kuona mambo ambayo kiukweli ndani ya familia huwezi kukuta kama kuna father figure wa maana.
0 Reactions
1 Replies
144 Views
1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu. 2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine...
4 Reactions
10 Replies
266 Views
Wakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa? Ebu lete kisa chako hapa. Naanza Mimi...
51 Reactions
151 Replies
8K Views
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi...
6 Reactions
44 Replies
641 Views
Walioanzisha hiki kitu kinachoitwa polisi jamii walikusudia mema lakini implementation yake zero. Hakuna fungu linalotoka wizara ya mambo ya ndani au jeshi la polisi kwaajili ya posho na...
10 Reactions
23 Replies
530 Views
Habari matajiri. Nauliza kwanini Wafanyakazi wanakuwa waaminifu Sana Kwa maboss lakini maboss hawawi waaminifu kwetu Sisi wafanyakazi? Kweli mtu unakuwa Na shida unamuelezea boss lakini boss...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Her cherish, Her smartness Kujichanganya Anapenda mambo mazuri mazuri, Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe. Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma...
6 Reactions
26 Replies
441 Views
Back
Top Bottom