Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya...
Redefining the Purpose of Education: Moving Beyond Memorization to Meaningful Learning
The modern education system stands at a crossroads. While students graduate with diplomas in hand, many...
Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai.
Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho...
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya...
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili...
JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Alama!
Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA...
1.The Rainbow Lorikeet: Rangi ya Asili
Rainbow Lorikeet ni ndege mwenye kupendeza sana, manyoya yake ni onyesho la kuvutia la rangi. Kichwa chake na tumbo vimepakwa rangi ya samawati...
Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei...
Gari la Kigamboni mwasonga to Kibada linatumia mafuta ndani ya kidumu cha gallon ndani ya gari, hata likiingia sheli wanaweka mafuta kwa ndani. Hii ni hatari kwa usalama.
Gari hili linafanya...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU HALI HII
Wakuu habari,
Bila shaka ulishaona mtu na heshima zake akiwaza kwa kuongea peke yake au wewe mwenyewe ukiwa peke yako iwe nyumbani au barabarani...
Ndugu zangu, jihadharini sana na marafiki wa karibu hasa kwenye maswala yanayohusu hela. Nimekutwa na utapeli wa aina ambayo yeyote mwenye rafiki anayemwamini hawezi kutoboa kwenye utapeli huo...
Poleni na majukumu !
Wakuu nimeona ndugu tujadili hili ili tupate uelewa wa pamoja .Kuna dogo alikuwa bodaboda jirani na baa ya mtaani napoishi mimi kidogo nakakipato ka wastani nani broo sana...
Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa...
LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu.
Nikasema, siô lazima kîla Mtu...
Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala...
Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.