Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wana board, Heshima kwenu! wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
4 Reactions
84 Replies
9K Views
Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata...
163 Reactions
625 Replies
18K Views
Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa...
2 Reactions
11 Replies
617 Views
Wakala wa Usajili makampuni BRELA ni wakala wa serikali ambapo watu wanaofungua makampuni , majina ya biashara na alama ya Biashara ndio wahusika wakuu. BRELA imehamia mirambo/ BOT na IFM kutoka...
0 Reactions
6 Replies
306 Views
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa chuo cha Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamin Sedoyeka kwa tuhuma...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17...
7 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wakuu. Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo. Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba tujadili hili.
0 Reactions
9 Replies
148 Views
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi. Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025...
3 Reactions
101 Replies
1K Views
Anonymous
Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Kwema wakuu? Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu. Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu? Kwa maana nyingine naulizia duka...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Habari JamiiForums. Naomba msaada, mimi ni mgeni katika kijiji fulani, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Katika kijiji hiki kuna utaratibu kwa wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za...
2 Reactions
35 Replies
922 Views
Hii hadithi ni very filthy. Nimeiona YouTube sasa hivi. Apparently imetokea last week. Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa . Sasa...
3 Reactions
7 Replies
589 Views
Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule 😂 utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana. Wanafanya kazi ipasavyo...
1 Reactions
9 Replies
409 Views
Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa...
89 Reactions
235 Replies
7K Views
Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori. Ukitokea Lindi ni km...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama...
2 Reactions
7 Replies
286 Views
KWA WALE MSIOIJUA TANZANIA VIZURI SOMENI KWA MAKINI UTAJIRI WA TANZANIA HALAFU JIULIZE KWANINI NI MASIKINI WA MWISHO NA MALI ZOTE HIZI 1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru...
22 Reactions
98 Replies
14K Views
Back
Top Bottom