Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Sijui hii mamlaka inakwama wapi, ni wiki ya nne sasa Tabata Bonyokwa hatuna maji. Hii imekuwa kero ya miaka na mikaka na bado hatujapewa ufumbuzi. Tulipangwa kuwa kinajengwa kituo cha kusukuma...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Mhandisi Mkama Bwire, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) amesema sasa changamoto ya maji inyoikumba Tabata itakwenda kuisha Disemba...
1 Reactions
14 Replies
493 Views
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Sio poa kabisa Wakuu, leo nimekiona cha Mtemakuni! Hali ya usafiri usiku huu inazidi kuwa ngumu kuanzia Tabata Relini, ambapo foleni ya magari ni ndefu hadi Barakuda.
0 Reactions
23 Replies
736 Views
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata...
4 Reactions
23 Replies
491 Views
Dodoma, Februari 7, 2025 – Benki ya CRDB imefanikiwa kusaini mkataba wa kusimamia utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri inayolenga kuwainua wanawake, vijana, na makundi maalum...
0 Reactions
7 Replies
270 Views
Hakuna kitu kizuri au chenye faida hupatikana kwa wepesi na kwa haraka. Soma mifano ifuatayo kisha jitafakari na uamshe ari yako tena. Uwindaji sio kazi rahisi. Tiger hushambulia mawindo yake...
4 Reactions
7 Replies
192 Views
Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Anonymous
Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe. Watumishi wa shule ya St Marys...
2 Reactions
13 Replies
480 Views
Leonard Mambo Mbotela enzi za uhai wake Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela, anayejulikana kwa kipindi chake maarufu cha "Je, Huu Ni Uungwana?" amefariki dunia. Ikithibitisha kifo chake...
12 Reactions
73 Replies
3K Views
Anonymous
Hili jambo linasikitisha sana, unasubirishwa kwenye foleni saa kadhaa halafu majibu unapewa mafupi ambayo hayana msaada wa shida uliyoifuata, meanwhile wanakuzungusha bila kujua umetoka wapi...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi...
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya...
5 Reactions
129 Replies
4K Views
Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi! Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Wanajamii nawasalimu, natumaini wote mpo salama weekend hii. Sasa niende kwenye point hasa kwenye suala ukamataji wa jeshi letu hasa pale inapotokea uhalifu. Mfano tukio la Mwanza, Polisi...
1 Reactions
3 Replies
111 Views
Bila shaka wote mko poa kabisa. Kidoti wenu nimerudi maji ya shingo nashindwa hata pa kuanzia. Kama familia yangu ya JF naombeni ushauri wenu wenda nikapata hata msaada. Kama mnakumbuka nilileta...
11 Reactions
73 Replies
1K Views
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo ya kabla (mita za prepaid)baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo...
1 Reactions
1 Replies
99 Views
ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸 1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION)...
21 Reactions
110 Replies
3K Views
Huyu mchungaji wa Kenya katoa ushuhuda na kupongeza Wakristo kwamba ndo njia peke ilio baki kunusuru dunia hi, msikilize kwa makini af ufanye comment yako kama ni kweli analo sema au laa, utowe na...
1 Reactions
8 Replies
189 Views
Back
Top Bottom