𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘃𝘂𝗷𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗲𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗼
Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha...
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure...
Uchunguzi wangu binafsi nimegundua dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi.
Hapa Tanzania watu wengi wanaPata pesa sana ila hawana ajira rasmi.
Leo nimejisikia vibaya Sana baada ya kumsikia Mzazi mmoja akimgombeza Mtoto wake aliyekua na ndoto ya kusomea ualimu, maongezi yao yalikua hivi.
Mtoto: baba Mimi nataka kusomea ualimu.
Baba...
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa
"Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa...
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila
Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi...
kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA -...
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa...
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya...
Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.
Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo...
Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na
nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90.
Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa...
Tundu Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 na alisoma shule ya msingi Mahambe, Singida. Katika miaka yake yote saba shuleni hapo, Lissu hakukubali hata mara moja kuamka alfajiri saa 11 kuwahi...
NEVER Learn These 11 Life Lessons the HARD Way! (Wise Words)
Introduction
Ever wish you could have a conversation with your older, wiser self? What secrets to a fulfilling life would they...
Kwema Wakuu!
Nipo kwenye kumi la tatu. Lakini Watu wengi wanapokutana na mimi hushindwa kukadiria umri wangu na wengi huniona nina umri mdogo. Yaani huniona kama nipo chuo hivi au nimezaliwa...
Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni...
Transfoma limeharibika kila ukipiga simu wanasema wanashuhulikia, ndio mwezi mzima?
Tafadhali Tanesco kanda ya Pwani tuooneni huruma miradi inakufa maisha yanakuwa magumu, karne hii bila umeme...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka...
Anaandika Habibu B. Anga,
Sadaka ni sehemu ndogo ya source ya utajiri wao.
Kizazi kipya cha wachungaji vijana wana formula mpya kali mno.
Tony Kapola (Ubert Angel) -Zimbabwe
Clear Malisa (Passion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.