Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ili kujenga jamii yenye utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya taifa hili. Tunapaswa kupitia mabadiliko kadhaa moja ya mabadiliko hayo kama ushauri au pendekezo langu ni...
1 Reactions
24 Replies
292 Views
Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi...
6 Reactions
33 Replies
816 Views
Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya...
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Dar es Salaam. Kwa utafiti mdogo. Ambao sihitaji ruksa ya mitume na manabii kuniruhusu niseme. Huu ni utafiti wangu binafsi. Nimetumia miaka kadhaa ili kuukamilisha na kimsingi kazi hiyo imeisha...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko. Chama icho kimeweka ada ya Tsh...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo...
16 Reactions
283 Replies
7K Views
Wanajukwaa habari za wakati huu. Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF...
9 Reactions
32 Replies
852 Views
Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Ajabu ni nzuri balaa. Hizi blenders zimeleta shida bongo haki ya nani!! Mmatumbi anataka kujaribu Kila kitu aone kinanogaje ikiwa juisi.
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na...
16 Reactions
103 Replies
2K Views
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi...
2 Reactions
4 Replies
211 Views
https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe...
2 Reactions
20 Replies
746 Views
MADA KUU: MATAMBIKO Mada ndogo: KUTEMBELEA MAKABURI. Somo linaendelea . . . Makaburi ni makao ya roho za mababu (mizimu) ambao hawajazaliwa tena kwenye miili mipya (reincarnate) na ambao nafsi...
1 Reactions
17 Replies
554 Views
Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na...
6 Reactions
8 Replies
366 Views
Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani. Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje...
5 Reactions
31 Replies
544 Views
SIKU moja baada ya kuenea taarifa ya kuuawa kwa mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis, anayedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mtwara, mmoja wa ndugu wa marehemu amedai wakati...
12 Reactions
101 Replies
10K Views
Wakuu nadhan Nina mkosi, Kazi sipati nikipata mbaya, Nikinnua mifugo inakufa, Biashara holaa, Mke Sina, Kwa mganga nimeenda mara moja lakin nayenyewe bado haijanisaidia. Nachomokaje hapa wakuu.
5 Reactions
7 Replies
191 Views
Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk. Nahofia...
11 Reactions
133 Replies
3K Views
UTANGULIZI Leo wana JF nimependa niweze kuwapa somo la kurejesha kumbukumbu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa muda wa miaka 15 sasa. Kuna baadhi ya kumbukumbu nimeweza kuzirejesha. Somo langu la leo...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Back
Top Bottom