Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri ...
Aisee kujua unaibiwa had ujaribu kitu kingine.
Nimekua nikinunua hili bando la 2100 la Gb lakin halikai hata dk tu limeisha.
Sasa hiz siku mbili nimeunga voda GB 1 inakaa sana aisee had sasa...
Nimekaa miaka sita kwenye Hii nchi hakika ni nchi nzuri mnoo geographical location yake ni katikati ya ulaya watu wake ni wachapa kazi ila pia wapenda starehe mnoo dini kuu ni Roman Catholic...
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama...
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni...
Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo
Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa...
Kuna wimbo unaitwa olodumare wa Joel Lwaga umekuwa maarufu kanisani watu wakitaja olodumare bila kujua maana yake nini.
Katika nyakati hizi za hatari,nyimbo nyingi za hawa watu walioungwa na...
Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k
kwa mara nyingi masomo ya...
Jina la Bwana na Mwokozi Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia.
Je kuna utofauti wowote ya Ubatizo wa Yohana na ule wa Bwana Yesu?,
Jibu ni kwamba hakuna utofauti wowote, ubatizo ni ule ule...
"Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi.
Yani askari zaidi ya 20...
Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango...
Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much.
Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home...
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.
* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia...
Kuna jamaa mmoja mtaani tukajenga mazoea! Mara hayo mazoea kayapeleka kwa mtoto wangu kiasi cha kumuachia kitu cha thamani ya kwamba atakipitia. Huyo mtoto kakiacha sehemu si salama kikaibiwa...
Hawawezi kuamua siku zote.
Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic
Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake...
Nilipokua mdogo nilisema nikiwa mkubwa nitapata pesa, nitakua nawasaidia masikini, ila mpaka sasa hivi najiona Mimi ndio maskini mwenyewe ninayepaswa kusaidiwa kabisaa, sijafika 30 lakini nina...
Ndugu Msomaji,
Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio.
Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok.
Kitu Ambacho Kilibadilisha...
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu.
Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia .
Ili kulinda privacy...
Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu...
Simnajua ndugu yenu tokea niachane na mma yenu mdogo kwa kufumaniwa ikanibidi nianze kutafuta mwingine basi jana natoka zangu kariakoo nikapanda gari ya kigamboni kisiwani, kukaa kwenye siti tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.