Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye...
Wakati mwili wa Jacob Elias (44) mkazi wa Milanzi Manispaa ya Tabora anayedaiwa kufariki dunia kutokana na kipigo alichokipata akiwa mahabusu ukizikwa jana Februari 16, 2022, Jeshi la Polisi...
"Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa...
Habari.
Kuna kero moja Manispaa ya Singida, kumekuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery.
Wananchi wanatoa taka nje siku ya kubeba hawaji kuchukua. Hii ni...
Wana jamvi uzima na afya uwe kwenu nyote.
Hapa siongei na wavulana na vijana wa hovyo. Bali naongea na vijana na watu wazima wenye kujitambua haswa.
Ni ukweli pasina shaka kuwa maisha ya ujana...
Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete.
Matumizi...
MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama...
Wahudumu wa uzazi katika hospitali ya wilaya ya Mbozi, kliniki ya uzazi wanatoa lugha ya matusi sana, udhalilishaji kwa wanawake, mfano mwanamke asipokuja na dela hutukanwa, hufukuzwa mpaka aje na...
Muhtasari
Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama...
Chuo kikuu cha SAUT Mwanza kimeweka hadharani taarifa za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo Taarifa hizo zinajumuisha Majina kamili, namba za simu , emails, tarehe mwezi na...
Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
Habari zenu ndg jamaa, naomba kuuliza kama Kuna mwenye kujua, nilikua najishughulisha na biashara ya kubeba mkaa hapa mkoan Dodoma katika mihangaiko yangu mwaka Jana mwezi wa na Nne tulikamatwa na...
Kasi ya wazazi kuwatoa watoto Wao shule za EMs kuwarejesha Kayumba inazidi kuongezeka kila siku.
Huko mtaani ni balaa mamia Kwa maelfu ya wazazi wanawatoa watoto Wao shule za EMs na kuwarudisha...
Sisi wananchi wa Mkoa wa Mwanza tunakupongeza sana kwa uchapaji wako wa kazi katika Mkoa wetu. Tangu ulipohamishiwa katika Mkoa wetu matukio mengi ya kihalifu yamepungua sana.
Katika funga kazi...
Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa tamaduni, historia, na utofauti wa makabila. Ni sehemu ambapo lugha, rangi za ngozi, na muonekano wa watu hutofautiana kulingana na maeneo na historia zao...
Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu.
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.