Wakuu,
Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu...
Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu,
Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina...
Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo...
Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu
Tusiige wazungu
Mwanamke wa...
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhidhwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi...
Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu.
Barabara za mjini takribani kote ni changamoto...
Habari ya muda huu wanajukwaa.
Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri...
Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana.
Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali...
Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi"
Cha kushangaza wanatumia bibilia...
Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni...
Habari wana bodi.
Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz.
Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea...
Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu.
Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na...
Kuna mabrother na wadogo zetu ambao wana roho mbaya sana kwenye ishu zinazohusisha maslahi kitu pekee wanachofikiria ni nafsi zao pekee mbaya zaidi wao ndio upewa kibali na mamlaka kuwa njia ya...
Kifo cha askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Konstebo Kulwa Gilbert, aliyepigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake, kimezua mshtuko kwa ndugu, jamaa, askari wenzake na majirani aliokuwa...
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu...
Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu.
Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu.
Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi...
Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani...
Habari Wadau
Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.