Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji. Hii ni hatua muhimu...
0 Reactions
5 Replies
291 Views
Nimeona hii reply kwenye uzi, ikanifikirisha sana. Mtu mpaka anaandika hivi lazima kuna kitu kizito nyuma yake. Nini kimewafikisha hapa? na kuna chochote tunaweza kufanya kuwapunguzia hizi...
5 Reactions
22 Replies
856 Views
Biafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa Dar es Salaam open...
7 Reactions
25 Replies
875 Views
Ukitoa DRC au Congo ambayo hadi sasa zaidi ya watu million 12 wameuliwa. Sehemu nyingine ni Ethiopia Ethiopia watu wanauana kama Kuku kisa ukabila. Serikali ya watigray iliyoongoza kwa miaka 30...
1 Reactions
56 Replies
2K Views
Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys. Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka...
14 Reactions
148 Replies
4K Views
Ningependa kujua tu Jeshini JWTZ kati ya Luteni mwenye (nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi...
2 Reactions
133 Replies
89K Views
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo. Hivyo vitu ni lazima kuwepo. Yaani ni sharti serikali itumie...
1 Reactions
44 Replies
619 Views
Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri? Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita? ================================ ========================...
3 Reactions
115 Replies
14K Views
Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!! Uliza chochote… Mr chromium
7 Reactions
107 Replies
3K Views
Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
5 Reactions
9 Replies
213 Views
Habari wadau! Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Anonymous
Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda...
1 Reactions
6 Replies
394 Views
Habari za muda huu? Nilitafutiwa chumba na dalali maeneo ya Magomen Kagera pale maeneo ya Oil com, Hivyo basi nilitoa kodi ya miez 5 na Kodi ya 1 ya dalali jumla nikatoa tsh 360,000 kwasababu...
3 Reactions
20 Replies
693 Views
Hii ngoma ya DRC bado mbichi. Na moja kati ya mambo yanayozorotesha maridhiano ni pande zinazotuhumiana kugoma kukutana. Wataalamu wa Conflict resolution & mediation wanasema ukiweza kuzikutanisha...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha...
26 Reactions
95 Replies
6K Views
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni. Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu...
29 Reactions
330 Replies
27K Views
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii. Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi...
14 Reactions
107 Replies
3K Views
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini...
0 Reactions
3 Replies
146 Views
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka...
27 Reactions
459 Replies
16K Views
Back
Top Bottom