Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote.
Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa...
Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo...
Wakuu.
Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba...
Hello JamiiForums, ni Kainetics hapa ivi. Kwenye thread hii fupi nitaongelea mambo ambayo ukiyazingatia, basi itakua ngumu sana Kutapeliwa mtandaoni kwa namna yeyote ile.
Mtandao ni sehemu kubwa...
Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza.
JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa...
Wafanyakazi wa wanaojihusisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Singida wamedai haki zao katika Mifuko ya Jamii (NSSF) pamoja na kodi wanayokatwa ifike katika...
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe...
Hii Kampuni ambayo inaonyesha kusajiliwa Tanzania, ina dalili zote za kitapeli kama makampuni mengi yahayojitangaza kufanya biashara ya Sarafu za kidigitali (BITCOIN).
www.titmining.com
Wameweka...
Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo...
Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo
MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa
KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa
Fanyaaaa showe wiki nzimaaa...
Kuna tangazo moja la kampuni ya Yas,Mtu mmoja anadai ni mkazi wa kijiji kimoja kule wilayani Mkinga,Tanga anajinadi kwamba ameshinda bahati nasibu ya kampuni ya Yas kupitia promotion ya Giftishe...
Sasa ARV's zinakwenda kuwa big deal, wachuuzi wadogo hawatazipata tena. Hofu yangu ni kwamba kwenye maghala ya dawa ya MSD watu wanaweza kujizolea na kuzificha ili wakatajirike siku za machoni...
Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni.
Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya...
Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya...
Soko la sido jijini Mbeya linaungua moto muda huu.
Taarifa zaidi zitakujia kadri zinavyopatikana.
Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Ripota wetu jijini Mbeya,zinaeleza kuwa Soko la...
Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti .
Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble.
Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi...
Hapa mtaani kwetu kuna changamoto ya kimazingira inaendelea huu ni Mwaka wa tatu sasa maeneo ya Msasani Mikoroshini yanaathiriwa na maji taka yanayotoka kwenye makazi ya mtu mmoja ambaye ni kama...
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa
HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER
Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.