Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanaotelekeza watoto wao na wanaokimbia majukumu ya kifamilia (ikiwemo kutunza wazazi wakizeeka). Wanaowaonea wivu wengine na kuweka nguvu kwenye kuwashusha kiuchumi na au kuwazibia fursa kwenye...
2 Reactions
6 Replies
165 Views
Ili swala sio utani ila waafrika wengi tunapenda umaskini wa kufikia malengo. Tumeona kuanzia serikali yetu ambavyo kuna mambo ambayo kama bima za afya,sekta za uwekezaji ndani na nje swala la...
2 Reactions
2 Replies
145 Views
Hifadhi hii ilianzishwa wakati wa awamu ya tano, wanyama wakasafirishwa kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Chato kwenye kitovu cha utalii. Muda umepita, hifadhi hii haisikiki tena. Wadau...
7 Reactions
46 Replies
957 Views
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza...
11 Reactions
69 Replies
3K Views
Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa. Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu. 'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA...
38 Reactions
104 Replies
2K Views
TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na...
3 Reactions
15 Replies
408 Views
Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu...
1 Reactions
3 Replies
196 Views
Kwanza napenda kukupongeza wewe binafsi kwa kuwa nakuona unajitahidi sana kujaribu kuleta suluhu kwenye suala la ubora wa elimu yetu.Hata hivyo jitihada zako pamoja na washauri wako bado hamjaweza...
0 Reactions
10 Replies
459 Views
Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji...
3 Reactions
24 Replies
591 Views
Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni...
3 Reactions
25 Replies
513 Views
Usasa una yake mazuri na ya kuchukiza. Ya nuruni na ya sirini. Yote hayakwepeki. Kuna moja lililo wazi. Hata kama hatutapenda kulijadili kwa unafiki na uzandiki wetu. MFUMO KRISTO UNATAWALA DUNIA...
32 Reactions
149 Replies
16K Views
Hii nimeona niizungumze kwa kiasi. Utakuta mtu anahifadhi application ya Biblia au kitabu takatifu chochote kulingana na imani yake lakini amehifadhi pia picha za utupu au mambo yasiyofaaa. Hii...
5 Reactions
34 Replies
515 Views
Majuzi kati nikiwa kijiweni ulitokea ubishani mkali sana juu ya uwepo wa Mungu, mimi nikiwa nahitaji kuthibitishwa uwepo wake. Tuliongea mengi sana ila itoshe tu kusema hawa watu hawana facts...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Muktasari: Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Elimu ni bahari Elimu ni hazina Elimu ni ufunguo wa maisha. Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu. Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu...
6 Reactions
10 Replies
242 Views
Mwanazuoni wa kiislam Sheikh Swed Twaibu akiwa TBC akielezea katiba ya BAKWATA jinsi ilivyoshirikisha waislamu wote wa Tanzania alisisitiza kuwa waislamu wote nchini ni wana BAKWATA. Pia alienda...
2 Reactions
6 Replies
242 Views
Habarini wakuu naombeni mnisaidie mawazo ya kwanza kuna simu (smartphone?)imechajiwa hapa kwa mpaka imefika 85% galfla imestop yani haiingizi charge kila tukichomeka kwa chaja inaleta tu ujumbe...
2 Reactions
13 Replies
216 Views
Je Mizimu Ipo au ni Maneno ya Watu Mizimu ni Nini Mizimu ni maroho wa kuzimu walio wakuu wa giza ambao wanajimilikisha familia, ukoo au eneo ili watu wa eneo hilo wawe chini ya utawala wao na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi...
16 Reactions
90 Replies
42K Views
Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra. Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Back
Top Bottom