Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga...
1 Reactions
9 Replies
230 Views
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai?? Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo...
2 Reactions
13 Replies
202 Views
Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu; (1) Kinondoni (high income) (2) Ilala (middle income) (3) Temeke (low income) Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Ni kawaida kuwa na hasira lakini usifanye mambo ukiwa na hasira. Unapoacha kuongea na watu, basi acha kuwaongelea pia, yani unakuta mtu ameamua asiongee na Etugrul Bey lkn cha kushangaza unakuta...
8 Reactions
7 Replies
384 Views
Habari wadau. Leo tujifunze moto wa maajabu ambao waganga wengi wanautumia kutapeli watu wakijifanya moto huo umeletwa na nguvu zao za uganga. Waganga wanachukua pottassium permanganate sababu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Bila kupiga dili nyama utakula mara moja tu kwa mwezi. Bila kupiga dili utapanda daladala mpaka makonda wakukariri sura. Bila kupiga dili huwezi kuwa na banda la biashara Bila kupiga dili ndugu...
5 Reactions
8 Replies
275 Views
Suala la uongozi ni hakiya raia wote na sio kwa wanaumme pekeo . Kwani Haki ya uongozi imetajwa katika Kifungu cha 21 (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kinasema kila Mzanzibari...
1 Reactions
0 Replies
122 Views
Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu...
6 Reactions
19 Replies
364 Views
Anonymous
Wastani wa Malori zaidi ya 1,000 hutoka kila siku Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania na Nchi Jirani. Upanuzi wa barabara hiyo kutoka Ubungo hadi Kimara ni suluhisho la muda mfupi...
0 Reactions
3 Replies
389 Views
Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Mbunge wa viti maalumu wa Chadema ameihoji serikali kuhusu mpango wa kuijenga kwa upya barabara ya Iringa - Dodoma ambayo imekuwa na mashimo hali inayoondoa hadhi ya barabara hiyo kuunganisha...
1 Reactions
0 Replies
132 Views
Wasotho wana tamaduni zao tofauti, ikijumuisha aina za kipekee za muziki na lugha yao, Sesotho. Shughuli za kitamaduni ni pamoja na kucheza, kupiga makofi, kuimba, na kuimba. Shughuli fulani za...
1 Reactions
10 Replies
275 Views
Takwimu zinaonyesha tofauti kubwa katika ukuaji wa idadi ya watu kati ya nchi za Afrika Mashariki na zile za Scandinavia kati ya mwaka 1960 na 2024. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo...
0 Reactions
9 Replies
239 Views
Wana JF Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
0 Reactions
11 Replies
334 Views
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307] Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu...
153 Reactions
317 Replies
30K Views
Za asubuhi.... Moja kwa moja kwenye mada. 1.TRA 2.MAHAKAMA 3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K 4.TBS 5.MALIASILI 6.HOSPITAL 7.Ongezea zingine
13 Reactions
145 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, hongera kwa kila anayewajibika muda huu pia kwa wanaopumzika katika staili zao wajuazo wao. Naomba nisivute muda na wakati muhimu kama huu.Kama kichwa cha habari...
4 Reactions
78 Replies
34K Views
Juzi nilikua Arusha nmerudi hapa home mkoa wa Kilimanjaro, kabla sijarud dar nataka Tena kwenda LUSHOTO KUTEMBEA, Arusha nilipapenda sana nkapata na mwenyeji akanitembeza Mitaa, Hali ya hewa nzuri...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu, Kawe leo kumezidi kupamba moto Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo. Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business...
2 Reactions
16 Replies
641 Views
Back
Top Bottom