Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna...
Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina
Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge
Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti...
Pengine hadi sasa hujui, wala hujawahi kufikiria kuwa; wewe ndo hayo mabadiliko unayotamani sana kuyaona duniani.
Kwa namna moja ama nyingine, umekuwa ukijichukulia kuwa mfinyu na usiye na nafasi...
Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi.
Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi.
In fact,almasi hatuisikii kabisa.
Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school...
Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi...
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo...
Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
Najiulizaga hili swali sipati jibu labda niwaulize nyie mnaodaiwa na hamtaki kulipa….?
Nini kinasababisha usilipe deni??
Kwa mtu binafsi achana na mahela ya benki!
Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole!
Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa!
Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja!
Angekuwa mtu wa dili...
Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila...
Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.
Hivi haiwezekani kuwatandika...
Watusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama.
Ukifika...
Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori...
Wakuu hili ni swali kwa wahusika au kama kuna mdau hapa mwenye ufahamu asaidie ufafanuzi.
Nina jamaa yangu hapa ana tiketi ya safari ila alitaka kubadilisha tarehe ya safari ili asafiri siku za...
Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo.
1. KUFANYA KAZI NYINGI.
Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake...
Zijue Faida za Kuwahi Kwenye Ibada
Kutofika Kwenye Ibada kwa Wakati
Imekuwa ni desturi au tabia ya watu wengi kutokufika sehemu fulani kwa wakati. Hili tunaliona katika maisha yetu ya kila siku...
Naomba hii dhana ya hofu ya mungu ifutike mara moja na isijirudie tena, mungu hutakiwi kumwogopa bali unatakiwa kumuheshimu na kumpenda kwa maana mungu siyo mbaya na Hana nia mbaya kwetu...
Baada ya hofu kwa muda mrefu, jana nkaamua kujilipua. Namshukuru Mungu nipo salama, nashauri tu tucheze salama hali inaenda kuwa mbaya baada ya USA kujitoa kwenye mashirika ya afya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.