Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu.
Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar...
Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi.
Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa...
To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa
Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei
Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya...
Mungu alimuuliza Ayubu maswali ambayo yalilengwa kwa wanaosema Mungu hayupo. Kama Kuna Atheist anaweza kujibu ajitokeze.
Ayubu 38
1 Ndipo Bwana akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na...
Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa;
"Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata...
https://youtu.be/pSHVbLPWA28?si=A8eovqRdbZqxvM3u
======================
Kuwa hai ni bahati kubwa sana, lakini kuwa kiumbe chenye akili kuliko viumbe vyote duniani ni bahati mara 10,000 zaidi...
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
Kimsingi ukiona mbwembwe zake, unaweza kudhani ni tajiri.
Ukweli ni kwamba yeye si tajiri hana SOLID BASE/
Matajiri hawana TABIA za hivyo(Hovyo).....
Alipata kutokea tajiri mmoja miaka ya sabini...
Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi...
Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio...
Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi
Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa kutakuwa na Sare ya Kitaifa tarehe 8 Machi 2025, kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (katikati), akizungumza na wanahabari wakati wa kutangaza Ripoti ya Fedha ya 2024 ya benki hiyo, ikionesha mafanikio makubwa ya kifedha na...
Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi.
Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la...
Wakuu Mimi natumia Sim Card Moja tu kufanya Mawasiliano yangu yote, Pamoja na Kuwa simu yangu ina Support dual sim na Ina Esim capability ila still bado naona Furaha Kutumia Line Moja tu at a...
Katika siku za hivi karibuni, Kijiji cha Itumbi, kilichopo katika Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kimekumbwa na matukio ya kuhuzunisha na ya kutisha.
Majambazi wenye silaha wamevamia kijiji...
Kumekuwa na tabia ya watu wamepanga kuoa na kuolewa kuomba michango. Tabia hiyo imekuwa zaidi miaka ya karibuni kama mtu ana namba yako anaunda group na kukuingiza huko.
Wanaopinga michango...
Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo...
Nimesikia huko wakijadili eti binadamu awaye yeyote hufa siku ile ile aliyozaliwa,
Yaani kama ulizaliwa jumamosi basi utakufa jumamosi, hata kama utakufa na miaka 89 lakini siku itakuwa ni ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.