Nawasalimu kwa jina la JMT..
Moja kwa moja kwenye mada, Hospital maarufu ya Tiba za kibingwa kwenye Moyo na kansa ya Apollo ya India inatarajia kujenga hospital Kubwa ya Tiba hapa Tanzania...
Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge
Walimu nao wamegoma
Na mgomo haukutangazwa hadharani
Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni...
Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu.
Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze...
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku.
2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no...
Habarini wakuu!
Hakika miaka inakwenda. Miaka ya nyuma, magazeti yalikuwa na mvuto sana kuanzia front pages hadi ndani. Yalikuwepo magazeti mengi sana ila Binafsi nilikuwa mpenzi wa magazeti ya...
Habari wakuu!
Kutokana na vita zinazoendelea hapa Afrika hususani ukanda wa kusini mwa janga la Sahara napendekeza wazo ambalo litasaidia kudumisha amani yetu.
Napendekeza ya kuwa serikali yetu...
Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha.
Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini.
Mtu unakubali...
Unaishije na wanyarwanda mtaani kwenu? Tabia zao zipoje? Ujirani wenu upoje?! Sifa zao zipoje?
Uzi maalumu wa kujua mienendo za majirani tunaoishi nao ambao asili yao ni kutoka Rwanda namna...
Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa.
😂😂👆🏾 sijui...
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.
Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya...
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.
Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi...
Nini maana ya ubunifu?
Ubunifu ni uwezo wa kuunda au kubuni kitu kipya au kupata njia mpya ya kutatua tatizo (Kulingana na mimi). Mfano wa ubunifu ni kubuni programu ya simu inayorahisisha malipo...
WAKUU habari zenu.
Katika uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba waafrika wengi bado wanaendelea na nila zao za zamani japo chinichini ili watu fulani wasijue.
Kwa mfano watu...
Wakuu Habari ya Jumapili...
Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota"...
- JF, Insta, facebook na magazeti vyote, vingejaa picha na jumbe za Tanzia.
- Akaunti nyingi za kijamii hasa za watu maarufu kama wanamuziki wasanii wanasiasa mainfluencers zingesimama kufanya...
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina...
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi...
Kama mmefuatilia huu mjadala wa Hawa jamaa was huko congo kukinukisha asilimia kubwa naona wanaowachukia ni wanaccm naomba nijue hii ipoje aisee maana ukiwasifia Hawa wapigania haki za wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.