Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu
Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli.
Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake...
Nimezaliwa miaka ya 90 mwanzoni, jijini Dar es salaam katika kata ya Sinza. Baba alifariki kipindi nina mwaka mmoja hata sura yake siikumbuki nimeziona picha zake tu na mama alifariki wakati nipo...
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa
Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama.
Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa...
Mama mzazi wa nabii mkuu Geordavie akitoa ushuuda kanisani kwa mwanae alisema;
"Mwanangu sio mtu wa kawaida, nakumbuka kipindi akiwa mtoto aliwai kupiga kelele huku macho yake akiwa ameelekeza...
Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea
👉Umepanga chumba na sebule
70k-100k kwa mwezi
👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku
👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi...
Wewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara kwa kuweka miturubai kisa una sherehe si ungenunua eneo kubwa ili ujitosheleze hii tabia imekithiri kwenye hili jiji la...
Habari za uzima wenu ndg zangu hongereni sana kwa mapambano.Na wapenda sana.
Nimeona nianzishe huu uzi uwe wa General kwa kutuma changamoto zetu zote tunazopitia katika mifugo yote. Hii namanisha...
Quokkas (Setonix brachyurus) ni wanyama wadogo wenye mifuko ya kuzalisha (marsupial), wanaopatikana kusini-magharibi mwa Australia, na wanajulikana kwa sura yao ya kirafiki na "kutabasamu" kila...
Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora...
Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa.
Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na...
Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao.
Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa...
Heshima kwenu brothers and sisters,
Nimeona sio mbaya niki share na watanzania wenzangu experience niliyokutana nayo katika harakati zangu za kutaka mama yangu apone ili wengine ambao wanapanga...
Mzuka Wanajamvi
Nikusaidiana katika mbinu mbali mbali za kuutafuta utajiri ili tuendeshe maisha yetu kiurahisi na kuleta maendeleo yetu binafsi, kwa waliotuzunguka na taifa kwa jumla.
Kumbukeni...
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.