Ikiwa mtu kapata passport ya nchi ,kwa mfano Amerika au Uingereza,kwa kujifanya ni mkimbizi,amekimbia vita anakotoka,akaenda moja kati ya nchi zunazopokea wakimbizi,na akasema amezaliwa katika...
Kwa ufupi mwaka wangu mpya umeanza rasimi tarehe moja ya February, ule mwezi wa kwanza ulikua ni mwezi wa majaribio.
Leo nawapeni hizi codes ambazo utumiwa na mjambazi Ku survive mtaani
Kanuni...
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa...
Baada ya Mwananchi ambaye ni Member wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture Wilayani Muleba kueleza kuwa Wahitimu wa awamu mbili chuoni...
Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Abdallah Chaurembo amesema Shirika la Posta kwasasa linadaiwa TSh. Bilioni 54.7 hivyo kushindwa kujiendeleza na pia shirika limeshindwa kukopesheka, tuimbe sana...
Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na...
Wakuu
Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari 2025 kama ilivyotangazwa wiki kadhaa zilizopita.
Soma: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo...
Mwili wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah unaodaiwa kukutwa mtoni ukiwa umefungwa kwenye mfuko.
Mwili wa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah umekutwa katika mto Ndabaka...
Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakayekaidi atahesabika ni muasi ahera Inamuhusu.
Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi...
Habari Wanajamii,
Ninaandika kwa uchungu kielezea changamoto ninayoipiia sasa ya KUTOHAMISHIWA TAARIFA ZANGU ZA KIUTUMISHI KATIKA HALMASHAURI YANGU MPYA pamoja na ukweli kwamba nilihama kutoka...
Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la Kampuni ya Ester Kuxury, mkoani Kilimanjaro leo Jumamosi...
"This heart of mine was made to travel this world"
"Travel is my therapy"
"To travel is to live"
Wasalam,
Kama title ya uzi huu inavyoeleza, lengo la uzi huu ni kutoa dondoo kadhaa kwa wadau...
Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina.
Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa...
Alhamisi na Ijumaa ya wiki iliyopita, tarehe 30 na 31 Januari walimu wa halmashauri ya Meru walipatiwa semina ya utekelezaji wa mtaala mpya.
Vituo vya utoaji wa semina vilikuwa kadhaa.
Kituo...
Wakuu za sasa hivi hapo,
Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo.
Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa...
Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.