Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
132 Reactions
587 Replies
57K Views
Kipindi niko mdogo stendi ya kwenda mikoani kutokea Dar ilikuwa Kisutu na nyingine ilikuwa Mnazi mmoja Ni mpaka early 90s meya au mkurugenzi wa Jiji Bwana Keenja slipoihamishia Ubungo,jamaa...
14 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona...
22 Reactions
127 Replies
35K Views
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata...
1 Reactions
7 Replies
420 Views
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi. Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo. Kafanya Kazi nyingi...
14 Reactions
89 Replies
3K Views
Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri. Shetani ktk hii dunia ya leo...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Wanajukwaa! Jiji katika siku hizi 2 litakuwa bize sana so kila kitu kitakwenda kwa speend sana =================== Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba abiria wanaofanya safari zao kati ya...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka...
2 Reactions
8 Replies
444 Views
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu. Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi...
7 Reactions
157 Replies
14K Views
" Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao" Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
Popote pale uionapo mada inayowahusu watu wa Mungu usitumie akili yako bali tumia akili itokanayo na Mungu. Tumekuwa wakurupukiaji wa mada sana hasa kuzogoa na kuwasema vibaya watu wafanyayo...
0 Reactions
2 Replies
96 Views
Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi. Lakini hofu yangu ni juu ya...
4 Reactions
7 Replies
233 Views
Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka...
51 Reactions
311 Replies
21K Views
Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Huu ni ushauri kwa mliomaliza kidato cha 4 (O-Level) mwaka huu na mnafikiria kujiunga na chuo japokuwa mna ufaulu mzuri wa kujiunga A-Level. Kama ni mzazi una mtoto aliyemaliza masomo hayo na ana...
14 Reactions
57 Replies
1K Views
Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele...
16 Reactions
40 Replies
942 Views
Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
11 Reactions
42 Replies
968 Views
Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
8 Reactions
19 Replies
466 Views
Habari za muda huu walipa kodi wa wakati wote ! Naomba kutoa wazo moja tu. Hivi hii nchi hatuwezi kuwavutia wawekezaji katika nchi yetu hususani maeneo ya Majiji mfano; Mwanza, Arusha, Dar es...
1 Reactions
4 Replies
163 Views
Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January...
3 Reactions
33 Replies
637 Views
Back
Top Bottom